kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Hata Mimi nimeshangaa walijificha na rais wakati wa kuaganaMimi ndo huyo hapo mzee wa ubwabwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi nimeshangaa walijificha na rais wakati wa kuaganaMimi ndo huyo hapo mzee wa ubwabwa
Watu wana vipaji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Magufuli alikuwa na roho ya shetaniMbowe alikuwa anamiss sana hizi mambo enzi za magufuli. Unaona hapa ana furaha ya ndani kabisa, kweli hakuna ulimi mgumu mbele ya asali.
Master yote ni profesa janabi aliyechomoa betri ya gari kule morogoro mwaka juziHivi ndio nchi yapaswa kuongozwa siasa sio uadui! Hongera sana Diwani Athumani Msuya Kwa kazi iliyotukuka 17/3/ 1987
Dah maisha haya buana. Yuko wapi Sabaya? Yuko wapi Makonda? Heri James yuko wapi? Kihongosi? Ally Heppi? Yule DC aliyeharibu Mali za Freeman Mbowe?? Dah
Huyu jamaa hajafa??Umemsahau vuvuzela Musiba??!!
Sijapenda, hata kiti akamsogezea...Samia AKIMTUMIKIA Kamala View attachment 2571527
Bila picha hii stori hainogi hata kidogo.....Taarifa zinadokeza kwamba Freeman Mbowe ama Ustaadh Aboubakar kama anavyojulikana huko Zanzibar amepata wasaa mzuri wa kuteta mambo muhimu kuhusu mustakabhari wa Nchi na Makamu huyo wa Rais wa Marekani ....
Huyu Erythrocyte sometimes kwa uandishi wake namfananisha na Joyce MukyaMuanzisha thread na Mbowe...utasema Mr and Mrs.....
Eti mtu mzito kwenye futari dah...