Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
tujuze alisemaje kuhusu kifafa chake cha kuanguka
maana kuna kipindi hapo mjini bongo nilikuwa nakutana nae hindumandal hospital.. nikauliza manesi wakasema anakuja kuchukua dozeeee yake.
Bado anatembelea mkwaju mpaka mwezi wa kumi 25Kwani yule mkazi wa magogoni mwenye tatizo la kuanguka anguka alishapona?
Na wezi wa waume wa nyani je?wazee,vikongwe , wagonjwa,wezi wa wake za watu ikulu marufuku
Kwa sababu ni jambo lisilowezekana,watu wenye utimamu wa akili hili wanalijua vizur.
Ha Ha Ha Ha Ha ! kumbe Slaa ni mgojwa basi Lowasa ni MAREHM.
Kivipi ni jambo lisilowezekana Dr. Slaa kuwa Rais wa Tanzania ? Jaribu kufafanua Great Thinker!