IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Still hujui unachokiandika, stake 100% ya mradi ina milikiwa na mashirika ya kimisri 55% kwa 45% serikakali inatoa 15 advance kuonyesha commitment.
Mradi ukikamilika utakuwa unamilikiwa na serikali kwa 100% huku stake yote inaweza ikawa imelipwa au kukawa na deni kiasi.
Jiulize kwanini kuna wakandarasi wanaidai serikali japo wamemaliza miradi na sasa miradi hiyo inamilikiwa na serikali.
Nyerere bridge inamilikiwa na kuendeshwa na serikali lakini aliyestake ni PSPF na makusanyo yanayofanywa pale ni hili kuwalipa PSPF stake yao na wakimaliza kulipa stake pale darajani tozo zitapunguzwa kwa asilimia kubwa kama sio kufutwa
 

kwa hiyo nasemaje unataka nini?
 
Someni wenyewe, mtafsiri wenyewe, sitaki maswali

overnment, to build a dam and a hydropower plant on the Rufiji river on an EPC basis (engineering, procurement, and construction), as a part of the government’s plan to lower the energy shortages in east Africa’s third-biggest country.
The contract is worth $2.9bn and is financed through the direct funding of the Tanzanian government. The entire project will be executed under one integrated project management organisation with the responsibility of the joint venture, in which Elsewedy Electric holds 45%, and Arab Contractors holds 55%.
The power plant will start producing energy by April 2022, with project completion expected within 36 months after a six-month mobilisation period, and it will have an installed capacity of 2,115MW, that is expected to more than double Tanzania’s power generation capacity.
In 2017, the Tanzanian ministry of energy issued an international tender for the power plant, which is located approximately 200 km south west of Dar es Salaam, Tanzania’s commercial and administrative centre, where the signing ceremony was held on Wednesday.
Ahmed El Sewedy, CEO of Elsewedy Electric said, “The Tanzanian People can count on the Egyptian joint venture. This has been strongly committed by the Egyptian leadership, and it shall remain, as it has always been, the commitment of Elsewedy Electric in all its operations in its mother continent.” The statement came during the signing ceremony which was attended by Egypt’s Prime Minister Mostafa Madbouly, and the Tanzanian President John Magufuli, among many officials from both the Egyptian and Tanzanian governments.


Topics: Arab Contractors Elsewedy Electric power plant Tanzania
 
Kijana unajua maana ya stake?
Unajua vigezo vya kushinda zabuni?
Eti mradi umeuzwa, unatia huruma ujue!
Jaribu kuuliza maana ya stake ukishajua maana ya hilo neno utaelewa content nzima.
Kama hiyo kampuni imechukua mkopo wa kujenga hiyo dam, ni mali ya nani, wanarejesha vipi huu mkopo
 
Kama hiyo kampuni imechukua mkopo wa kujenga hiyo dam, ni mali ya nani, wanarejesha vipi huu mkopo
wanajenga kwa fedha yao huku wakiwa wanalipwa na serikali, kwanza wanapewa 15% advance halafu wanakuwa wanalipwa kwa kiasi kulingana na mkataba unavyosema.
Kwa mfano SGR inajengwa kwa 7 trillion lakini inaweza kukamilika na kukabidhiwa kwa serikali wakati serikali ikiwa haijamaliza kulipa hela zote lakini lazima mradi ukabidhiwe kwa serikali.
Mfano daraja la Nyerere aliyestake ni PSPF lakini leo daraja lipo mikononi mwa serikali huku PSPF wakiendelea kulipwa kulingana na mkataba.
Kuhusu SG yawezekana hizo kampuni mbili zimegawana stake ili kuepuka kulemewa kifedha kwa kampuni moja.
Hope umenielewa?
 
Siamini kama TZ kungalikuwa na watu kama nyinyi duuuh. Huu ni uzembe wa hali ya juu. Na itakavyoonekana wewe utakuwa mmoja wapo wa kuusaport huu ujinga wa raisi kukaa miaka mingi. Daa nchi inahitaji maombi
 
NI HABARI NZURI , JE ARAB CONTACTORS WANA UZOEFU ?
 
Dar es salaam: Viongozi 13 wa dini jana walisimama na kuuombea mradi wa umeme utakaozalishwa Mto Rufiji katika bonde la Stiegler ili upate mafanikio.Maombi hayo ya viongozi wa dini na madhehebu tofauti yalifanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kutia saini wa mkataba wa ujenzi wa mradi huo utakaokuwa ukizalisha megawati 2,115 za umeme utakapokamilika
 
Just be open and transparent utafanikiwa, prayers don't work for oppressors and unjust rulers......
 
Mufti Abubakar alikuwepo?
 
Du Baba Pengo ndani. Lakini maombi tu si hoja. Mwambieni amepewa Katiba. Aifuate ili aongoze kwa haki and above all, kwa BUSARA. Anaongoza watu sio 'mikia'
 
Maombi ya Gwajima pekee ndio yamefika.

Kwanza amesali kwa jina la Yesu wakati wengine wamepitia wazazi wa Yesu na wengine sujui waarabu gani huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…