Kwani wao umeme wa bei nzuri hawataki?Bavicha hawatachangia huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wao umeme wa bei nzuri hawataki?Bavicha hawatachangia huu uzi
Still hujui unachokiandika, stake 100% ya mradi ina milikiwa na mashirika ya kimisri 55% kwa 45% serikakali inatoa 15 advance kuonyesha commitment.Wewe ndye hujui maana ya stake. Huu mradi tulitakiwa tuwe na 100% stake. Sasa Egypt kuchukua 55% maana yake who is the majority owner? Hapa Egypt ndye anafanya maamuzi yote. Yan hapa ni sawa na kuuza. Yan umeiza asilimia 55 za mradi wako wewe umebakiza 45. Na miradi ming ya tz huanza hiz. Mwisho wa siku serkal unakuta imebakiza hata 20%.
So you think Maghufuli is your category?Clever people can not waste time, Listernng to people in the same category with Albert Einstein is not wastage of time!
ujumbe umeupata sio kila mtu ni kilaza hapa jukwaani.Niondolee upuuzi wako, you know nothing
Hii miradi bila kujipanga matokeo yake ndio haya sasa tunakamuliwa kodi kwenywe kila kitu.
Miradi hii mpaka ikamilike, wabongo mtakuwa hohehahe huku uchumi ukiwa taabani(mtakuwa kama waethiopia)
Msisahau zoezi la kujenga mji wa kiserikali Dodoma nalo linaendelea.
Serikali imejitwika mzigo isio na uwezo nao japo baadhi ya hiyo miradi michache ni muhimu ila utekelezaji wake na gharama zake ni lazima tutuumie tena sio kidogo na hata uchumi unaweza kuyumb maana baadhi ya miradi inapeleka fedha nyingi nje ya nchi..
Hauwezi kujenga nchi kwa kuongeza expenditure,kukopa kwa kiasi kikubwa na wakati huo huo mapato ya nchi yanaporomoka/biashara nyingi zinafungwa.
Chagueni miradi michache na muitekeleze kwa awamu kulingana na uchumi wetu na kwa kuzingatia pato halisi la Taifa letu.
Fungua hii link hapa chini uone ni wapi hii mikopo inakotupeleka kama Taifa.
Kamati ya Bunge ya Bajeti yahofia makusanyo yote ya serikali kutumika kuhudumia deni la Taifa, yataka kuwe na ukomo wa kukopa - JamiiForums
Serikali hii ina majukumu mengi zaidi ya
kujenga miundombinu na hazina yetu ni hiyo hiyo moja na ili tusonge mbele, ni lazima tutoe kipaumbele na kwa sekta nyingine maana zinategemeana.
Ni swala la muda tu itawabidi mbuni kodi za ajabu ajabu ili kujaribu kujikwamua na pia ili tuweze kupata hela za kulipa haya madeni makubwa.
Kwa sasa wengine hatutaeleweka kama ilivyo kawaida ila muda ndio kila kitu.
Kama hiyo kampuni imechukua mkopo wa kujenga hiyo dam, ni mali ya nani, wanarejesha vipi huu mkopoKijana unajua maana ya stake?
Unajua vigezo vya kushinda zabuni?
Eti mradi umeuzwa, unatia huruma ujue!
Jaribu kuuliza maana ya stake ukishajua maana ya hilo neno utaelewa content nzima.
Sasa unaelewa ulichoandika?Ngeu wapiga lowassa hamtukuja isahau
wanajenga kwa fedha yao huku wakiwa wanalipwa na serikali, kwanza wanapewa 15% advance halafu wanakuwa wanalipwa kwa kiasi kulingana na mkataba unavyosema.Kama hiyo kampuni imechukua mkopo wa kujenga hiyo dam, ni mali ya nani, wanarejesha vipi huu mkopo
Siamini kama TZ kungalikuwa na watu kama nyinyi duuuh. Huu ni uzembe wa hali ya juu. Na itakavyoonekana wewe utakuwa mmoja wapo wa kuusaport huu ujinga wa raisi kukaa miaka mingi. Daa nchi inahitaji maombimiaka 35 mingi,uliza uganda mpaka sasa mingapi maendeleo kwanza raisi kukaa madarakank sio ishu,ishu maendeleo yaliyokusudiwa uyu akitoka anakuja mwingine anakaa anaondoka kwaiyo ishu sio kukaa maana kiti cha uraisi ni cha milele ila watapokezana tu,tunasahau kwamba tulia uchaguzi unatumia pesa nyingi sana uku tunataka raisi akae mda mfupi tuacheni siasa tufanye maendeleo,kwangu ishu sio raisi kukaa isipokua akae kwa mujibu wa taratibu na sheria km sheria itabadilika tukiona umuhimu wa kutawala hata miaka 100 si kitu atawale tu,lakini raisi uyu anafanya maendeleo kwa yetu na vizazi vyetu na kwa ajili ya tz yenye uchumi imara basi atuna budi kumpa ushirikiano wa kutosha kuliko kufikili tunaitaji raisi mwingine nakwambieni akiondoka uyu uyo ajae atafanya tumkumbuke uyu,tunapoteza watu wazuri kwa fikra finyu
Just be open and transparent utafanikiwa, prayers don't work for oppressors and unjust rulers......Dar es salaam: Viongozi 13 wa dini jana walisimama na kuuombea mradi wa umeme utakaozalishwa Mto Rufiji katika bonde la Stiegler ili upate mafanikio.Maombi hayo ya viongozi wa dini na madhehebu tofauti yalifanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kutia saini wa mkataba wa ujenzi wa mradi huo utakaokuwa ukizalisha megawati 2,115 za umeme utakapokamilikaView attachment 967459
Mufti Abubakar alikuwepo?Dar es salaam: Viongozi 13 wa dini jana walisimama na kuuombea mradi wa umeme utakaozalishwa Mto Rufiji katika bonde la Stiegler ili upate mafanikio.Maombi hayo ya viongozi wa dini na madhehebu tofauti yalifanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kutia saini wa mkataba wa ujenzi wa mradi huo utakaokuwa ukizalisha megawati 2,115 za umeme utakapokamilikaView attachment 967459
Bila shakaMufti Abubakar alikuwepo?
Well said nduguJust be open and transparent utafanikiwa, prayers don't work for oppressors and unjust rulers......