IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Hivi Kuna vitu vingine vinavyoruhusiwa kua live TBC ukiacha matukio ya Mzee Baba?
 
Kwa mara ya kwanza, nimemwona Wachungaji Gwajima, Mwingira na Mzee wa Upako wakiwepo eneo moja. Maombi yao ni faraja kwa Watanzania wapenda Nchi yao na wapenda maendeleo. Mungu atubariki sana Watanzania.
Ni vema tena ni haki walahi
 
Swali ni je ule wa gas tulioambiwa kuwa ni solution ya nishati TZ umeishia wapi?
Hapo ndipo wenye akili tunapata maswali, je ni ufisadi mwingine?
 
Kwani ule umeme wa Gas ya Mtwara umeishia wapi mpaka muda huu?au bado upo njiani!
 
Ivi Bongo hakuna maingineer?
wana uzoefu wa kujenga mabwawa?
wana vifaa vya kujenga mradi mgumu kama huo?
Tofautisha kujenga bwawa la umeme na daraja au barabara ya chalinze msata
 
Amini usiamini hii ndio itakuwa kiistoria itakavyo someka "raisi aliyekaa miaka mingi madarakani afrika mashariki" nahisi kama si miaka 25 bhasi 35
miaka 35 mingi,uliza uganda mpaka sasa mingapi maendeleo kwanza raisi kukaa madarakank sio ishu,ishu maendeleo yaliyokusudiwa uyu akitoka anakuja mwingine anakaa anaondoka kwaiyo ishu sio kukaa maana kiti cha uraisi ni cha milele ila watapokezana tu,tunasahau kwamba tulia uchaguzi unatumia pesa nyingi sana uku tunataka raisi akae mda mfupi tuacheni siasa tufanye maendeleo,kwangu ishu sio raisi kukaa isipokua akae kwa mujibu wa taratibu na sheria km sheria itabadilika tukiona umuhimu wa kutawala hata miaka 100 si kitu atawale tu,lakini raisi uyu anafanya maendeleo kwa yetu na vizazi vyetu na kwa ajili ya tz yenye uchumi imara basi atuna budi kumpa ushirikiano wa kutosha kuliko kufikili tunaitaji raisi mwingine nakwambieni akiondoka uyu uyo ajae atafanya tumkumbuke uyu,tunapoteza watu wazuri kwa fikra finyu
 
Kwanini BBC hawarushi live tukio hili muhimu...ingekuwa mapunga wana kikao ndio wangerusha mubashara. Tanzania hoiye
 
Mbona kuna trion 8 na trion 6 tumeanza kupigwa kabla mradi haujaanza?
 
Kwani ule umeme wa Gas ya Mtwara umeishia wapi mpaka muda huu?au bado upo njiani!
Kama ulimsikiliza vizuri muheshimiwa katika moja ya hotuba zake alisema gesi ni ya wenyewe walioivumbua kwa minajim kwamba wanafidia fedha zao juu ya mkataba walioingia sasa kwanini asidili na anachokiweza ?
 
wana uzoefu wa kujenga mabwawa?
wana vifaa vya kujenga mradi mgumu kama huo?
Tofautisha kujenga bwawa la umeme na daraja au barabara ya chalinze msata
Sasa unawatetea nini wamisri? Wamejenga wao bwawa gani? Acha upumbavu kabisa wewe!
 
Wataalam kutoka nchi gani?
 
Ninawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.
ACHA KUBAHATISHA MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…