IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Kasi gani wakatu uchumi unavurugika?

Kasi tungeiona kwenye kuongeza mapato ya nchi na sio kwenye kukopa na kufanya mambo mradi tu uonekane umefanya.
Kutoka bil 8 hadi tri 1.3, sio ukuaji wa mapato hayo mkuu? Kinachofanyika ni kuhamasisha ili tufikie malengo makubwa zaidi ya ukusanyaji ila kuongezeka mapato kunafanyika.
 
Hakuna kitu chochote kinacho mshinda binadamu anaye ongozwa na Mwenye Enzi Mungu walahi
Chapa kazi JPM
Maadui zako wote wafe wao na vizazi vyao milele yote walahi
Unanyegeekaaa...tuliza makalio hata siku mojamoja..
 
Wangechagua miradi michacha na sio kwa style hii ya kuwa na mamiradi ya matrilioni ndani ya muda mfupi.

Kabisa Mkuu. Lakini hawajafanya hivyo...does it mean tusione lolote la maana?

Mimi naamini kabisa Ingawa miradi ya umeme na Reli ni mikubwa na haina immediate impact kwenye maisha ya wengi, Lakini ni miradi itasaidia sana taifa letu kupiga hatua kwenye maendeleo.

Maendeleo yana gharama.
 
Nadhani wamisri wamekubali haraka ili tusidisturb ziwa Victoria ambalo ni source ya mto Nile ambao ndo unaowapa uhai wamisri wengi
 
Sayansi ya kwanza imevumbuliwa na wamisri,,,, ila sio mbaya sana ni mawazo yako na si ya kupingwa
 
Ninawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.
Akili za chooni
 
Ngosha anaacha bonge la legacy. Sisi wa miaka hii kila jambo kwetu ni baya tu lakini kinakuja kizazi kitakachofaidika na mradi huu wa umeme.

Wapo watakaofaidika na wingi na ubora wa viwanda miaka ijayo. Wakati huo sisi wa sasa ambao baadhi yetu tulikuwa na akili timamu tangu enzi za Mwalimu, tutakapokuwa tukiitwa Marehemu fulani.

Magu sio muoga, ni jasiri mwenye kiburi cha kuzaliwa nacho. Wakati mwingine ni hulka inayomkwamisha na wakati mwingine ni hulka yenye neema kwa walio wengi.
 
Ndugu ingekuwa hivyo basi sote ilibidi tuishi kwenye miti kama sokwe na kulala mapangoni ,,,umepewa rasilimali unaogopa kutumia nani atumie rasilimali ulizonazo ? Rufiji inaukubwa kiasi gani mpaka unahofia kujengwa mradi huo? Emu furahia tunaenda kutatuliwa shida yetu ya mda mrefu ya umeme hayo mengine tuyaache ,,,,au wewe unatumia biogas hutaki sisi tunaotumia umeme wa tanesco tufurahi na umeme wa uhakika?? Be positive to positive things, period !

Tatizo la nchi hii sio uzalishaji wa umeme, tayari tunazalimisha umeme mwingi zaidi ya mahitaji yetu, tatizo letu ni miundombinu ya usambazaji wa umeme.

Kwa hiyo unaponiambia huu mradi utaondoa matatizo ya umeme sikuelewi.
 
Na wewe uwe positive pia, ukweli ni kwamba kutakuwapo na uharibifu wa mazingira, namaanisha kwamba uzalishaji wa umeme utaongezeka na mazingira yatakuwa yameharibika.

hakuna namna ingine ya kuzungumzia hili
 
Kabisa Mkuu. Lakini hawajafanya hivyo...does it mean tusione lolote la maana?

Mimi naamini kabisa Ingawa miradi ya umeme na Reli ni mikubwa na haina immediate impact kwenye maisha ya wengi, Lakini ni miradi itasaidia sana taifa letu kupiga hatua kwenye maendeleo.

Maendeleo yana gharama.
Ukiona unastaafu mafao hupati au unapunguzwa kazi na haki zako unapunjwa,ndio utaelewa ninachokisema.
 
Tatizo la nchi hii sio uzalishaji wa umeme, tayari tunazalimisha umeme mwingi zaidi ya mahitaji yetu, tatizo letu ni miundombinu ya usambazaji wa umeme.

Kwa hiyo unaponiambia huu mradi utaondoa matatizo ya umeme sikuelewi.
Nchi inazalisha megawat 1500 na uhitaji ni megawat 2500 kwa makadilio na ST gorge inazalisha megawat 2000 jumla ikishaunganishwa na grid ya taifa nchi itazalisha megawat 3500 hivi sasa usichokijua ni kipi ?
 
KATIKA HILI NAKUUNGA MKONO JPM, nimeandika kwa herufi kubwa kuonyesha heshima katika hili..

2000MW ni jambo jema na la kheri kwa Tanzania,..

USHAURI; Wakati tunajenga hii project, Mh Rais wakalie kooni Tanesco wajiendeshe kibiashara na wakati ujenzi unaendelea wao wawe wanaimarisha miundo mbinu ya umeme ikiwa pamoja na kuhakikisha maeneo mengi yanafikiwa na umeme wasisubiri malalamiko, wakiona mahali ujenzi unaanza wanatakiwa nao watandike nguzo ili watu waupata umeme kirahisi nao waongeze wigo wa kibiashar.
 
Ubaya wa raia wa nchi ya kusadikika hawajui wanachokitaka, hawaelewi vipaumbele vyao... "mradi wa stiglers gorge wa nini?? Mara ohoo ndege za nini?? Mara eheee SGR ya faida gani?? Waulize mnataka serikali ifanye nini?? Hawana majibu yenye hoja. Wanasubiri DADA MANGE au TUNDU LISSU aseme nao wadandie hoja hapo hapo, wasadikia ifike mahala ubongo tuufikirishe kabla ya kuongea, panapo kupongeza tupongeze, panapo kukosoa tukosoe kwa hoja pia. Hutaki SGR serikali ifanye nini?? Hutaki ST GORGE serikali ifanye nini?? Ujuaji wa mitandaoni hautatupeleka popote
 
Neno!!!!!
 
Back
Top Bottom