Nnyindojihadini
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 643
- 437
Hatua kubwa ya kimaendeleo. Waarabu wamepata fursa ya kuwajibu Wayahudi maana na kiarabu kimenukuliwa. Kujua haya uwe na karama ya kuona mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho ndicho anachokitafuta kuacha legacy ila kwa gharama kubwa ya maisha ya wananchi wa kawaida.Ngosha anaacha bonge la legacy. Sisi wa miaka hii kila jambo kwetu ni baya tu lakini kinakuja kizazi kitakachofaidika na mradi huu wa umeme.
Wapo watakaofaidika na wingi na ubora wa viwanda miaka ijayo. Wakati huo sisi wa sasa ambao baadhi yetu tulikuwa na akili timamu tangu enzi za Mwalimu, tutakapokuwa tukiitwa Marehemu fulani.
Magu sio muoga, ni jasiri mwenye kiburi cha kuzaliwa nacho. Wakati mwingine ni hulka inayomkwamisha na wakati mwingine ni hulka yenye neema kwa walio wengi.
Mkuu Salary Slip, hakuna nchi ambayo haina unemployment. Hollywood Marekani kuna mamilionea wanaoishi kwa kucheza sinema tu lakini mahali hapo hapo kuna ombaomba wanaolala ndani ya maboksi.Hicho ndicho anachokitafuta kuacha legacy ila kwa gharama kubwa ya maisha ya wananchi wa kawaida.
Anaeweza kutoka madarakani kaacha hiyo miradi lakini mambo mengine yote yakiwa yamevuruguki huku unemployment ikiwa iko juu,maisha yamezidi kuwa magumu,miradi mingine mingi imekwama,deni la Taifa likiwa liko juu,bajeti hazitekelezeki n.k na asipokuwa makini, na dola ataiacha imepanda sana unless anabadilika.
Acha kunung'unika kaza buti twende mbeleHii miradi bila kujipanga matokeo yake ndio haya sasa tunakamuliwa kodi kwenywe kila kitu.
Miradi mpaka ikamilike, wabongo mtakuwa hohehahe huku uchumi ukiwa taabani(mtakuwa kama waethiopia)
Msisahau zoezi la kujenga mji wa kiserikali Dodoma nalo linaendelea.
Serikali imejitwika mzigo isio na uwezo nao japo baadhi ya hiyo miradi michache ni muhimu ila utekelezaji wake na gharama zake ni lazima tutuumie tena sio kidogo na hata uchumi unaweza kuyumb maana baadhi ya miradi inapeleka fedha nyingi nje ya nchi..
Hauwezi kujenga nchi kwa kuongeza expenditure,kukopa kwa kiasi kikubwa na wakati huo huo mapato ya nchi yanaporomoka.
Chagueni miradi michache na muitekeleze kwa awamu kulingana na uchumi wetu na kwa kuzingatia pato halisi la Taifa letu.
Serikali hii ina majukumu mengi zaidi ya kujenga miundombinu na hazina yetu ni hiyo hiyo moja na ili tusonge mbele, ni lazima tutoe kipaumbele na kwa sekta nyingine maana zinategemeana.
Ni swala la muda tu itawabidi mbuni kodi za ajabu ajabu ili kujaribu kujikwamua.
Kwa sasa wengine hatutaeleweka kama ilivyo kawaida ila muda ndio kila kitu.
Thumb up brotherUbaya wa raia wa nchi ya kusadikika hawajui wanachokitaka, hawaelewi vipaumbele vyao... "mradi wa stiglers gorge wa nini?? Mara ohoo ndege za nini?? Mara eheee SGR ya faida gani?? Waulize mnataka serikali ifanye nini?? Hawana majibu yenye hoja. Wanasubiri DADA MANGE au TUNDU LISSU aseme nao wadandie hoja hapo hapo, wasadikia ifike mahala ubongo tuufikirishe kabla ya kuongea, panapo kupongeza tupongeze, panapo kukosoa tukosoe kwa hoja pia. Hutaki SGR serikali ifanye nini?? Hutaki ST GORGE serikali ifanye nini?? Ujuaji wa mitandaoni hautatupeleka popote
Tunakamuliwa kodi kwenye kila kitu lipa kodi acha manenoHii miradi bila kujipanga matokeo yake ndio haya sasa tunakamuliwa kodi kwenywe kila kitu.
Miradi mpaka ikamilike, wabongo mtakuwa hohehahe huku uchumi ukiwa taabani(mtakuwa kama waethiopia)
Msisahau zoezi la kujenga mji wa kiserikali Dodoma nalo linaendelea.
Serikali imejitwika mzigo isio na uwezo nao japo baadhi ya hiyo miradi michache ni muhimu ila utekelezaji wake na gharama zake ni lazima tutuumie tena sio kidogo na hata uchumi unaweza kuyumb maana baadhi ya miradi inapeleka fedha nyingi nje ya nchi..
Hauwezi kujenga nchi kwa kuongeza expenditure,kukopa kwa kiasi kikubwa na wakati huo huo mapato ya nchi yanaporomoka.
Chagueni miradi michache na muitekeleze kwa awamu kulingana na uchumi wetu na kwa kuzingatia pato halisi la Taifa letu.
Serikali hii ina majukumu mengi zaidi ya kujenga miundombinu na hazina yetu ni hiyo hiyo moja na ili tusonge mbele, ni lazima tutoe kipaumbele na kwa sekta nyingine maana zinategemeana.
Ni swala la muda tu itawabidi mbuni kodi za ajabu ajabu ili kujaribu kujikwamua.
Kwa sasa wengine hatutaeleweka kama ilivyo kawaida ila muda ndio kila kitu.
Akili kisoda huyo mtu awaulize wahispaniol usipolipa kodiJenga nchi yako kwa Kodi zako. Unadhani Lowassa angepata wapi fedha ya kujenga miradi ya maendeleo?
Kama mawazo yake ww unachukia nn sasaHaya mawazo yako ni kinyume na katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Kinachotakiwa ni kutekeleza yale yatakayowezekana kwa kipindi ambacho wananchi watampa yale yatakayoshindikana yatasubiri Rais anayefuata
Tulia mkwepa kodiToo much taxation inaua biashara na haijengi nchi.
Umeandika ukiwa unakunywa au unakunya bado hujaelewaga mpaka leo umeme ni nn kitika uchumi mkubwa kweli?ndugu yangu, umeme ndio nchi ipae
Acha kupotosha...Hongera mh rais,kasema pesa hipo hata wakitaka advance payment ya 50% Leo hii wanaweza kupata.
Wakimaliza tu masuala ya kibenk wanaweza kupata.
Go go go go go Mh.Rais
Hili ni eneo la Delta ya Mto Rufiji, ni mbali na eneo la Mradi. Yaani umbali wa bonde hili ulionalo na eneo la Mradi ni sawa na kutoka Chalinze hadi Morogoro, so havihusiani kabisa mzee.View attachment 965550
Baada ya Mradi kuisha
Hiyo miti yote itakuwa imekatwa, na hapo patachimbwa na kujengwa makuta ya masement na mavyuma ya kufua umeme, this view will become extinct henceforth.
I will miss you, The Great Rufiji.
Nako muda ukifika tutasema tena suala la bwawa nendeni mkaulize chatoGas sio yetu ni ya wenyewe wenye mitambo yao wacha wabunye mbaka mkataba uishe sisi sote tumeshakuwa wazee
Mwenye maswali kuhusu gas njia nyeupe akwende Msoga kule kuna majibu mubashara
Sisi tunakwenda na bwawa letu ,maji yetu na fedha zetu
Megawati 2000 za kwetu..
Umeme unaozalishwa na maji ni gharama nafuu sana ...jukumu letu ni kutunza mazingira... Ethiopia wanajenga bwawa kubwa zaidi yetu vyanzo vikubwa ni mto nile...sisi vipo vingi tumuunge mkono kwani maendeleo ni yetu soteanasain yeye au katibu mkuu ujenzi,
Mabwawa ya kidatu,mtera yamekauka,mabadiliko ya tabia nchi,bado mtu anaamini umeme wa maji,umeme wa gesi unatumika asilimia kumi,unakopa tena kujenga mradi mwingine
Naona kakingereza kanakupiga chenga kidogo Mkuu!Hongera mh rais,kasema pesa hipo hata wakitaka advance payment ya 50% Leo hii wanaweza kupata.
Wakimaliza tu masuala ya kibenk wanaweza kupata.
Go go go go go Mh.Rais
Tena wa misri wanajenga ajira na watu wanazunguka watanufaika tofauti na wale Masharki ya mbali...miradi ming wanafanya ila ajira mbovu na hata watu wanazunguka mrad wanaishia hakuna kulalamikaGas sio yetu ni ya wenyewe wenye mitambo yao wacha wabunye mbaka mkataba uishe sisi sote tumeshakuwa wazee
Mwenye maswali kuhusu gas njia nyeupe akwende Msoga kule kuna majibu mubashara
Sisi tunakwenda na bwawa letu ,maji yetu na fedha zetu
Megawati 2000 za kwetu..