IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Hatua kubwa ya kimaendeleo. Waarabu wamepata fursa ya kuwajibu Wayahudi maana na kiarabu kimenukuliwa. Kujua haya uwe na karama ya kuona mbali
 
Hicho ndicho anachokitafuta kuacha legacy ila kwa gharama kubwa ya maisha ya wananchi wa kawaida.

Anaeweza kutoka madarakani kaacha hiyo miradi lakini mambo mengine yote yakiwa yamevuruguki huku unemployment ikiwa iko juu,maisha yamezidi kuwa magumu,miradi mingine mingi imekwama,deni la Taifa likiwa liko juu,bajeti hazitekelezeki n.k na asipokuwa makini, na dola ataiacha imepanda sana unless anabadilika.
 
Mkuu Salary Slip, hakuna nchi ambayo haina unemployment. Hollywood Marekani kuna mamilionea wanaoishi kwa kucheza sinema tu lakini mahali hapo hapo kuna ombaomba wanaolala ndani ya maboksi.

Huwezi kukwepa uwepo wa umeme mwingi halafu ukadai unatafuta maendeleo. Gharama hazikwepeki, unajua ni kiasi gani cha fedha kilitumika kujenga ile tower ya Paris?. Unajua ni kiasi gani cha watalii wanaiingizia fedha Ufaransa kupitia tower ile?.

Acheni uoga, ukiyavulia maji ni lazima uyaoge. Muoga hufa masikini, kumbuka juu ya ukweli huo.
 
Ac
Acha kunung'unika kaza buti twende mbele
 
Thumb up brother
 
Tunakamuliwa kodi kwenye kila kitu lipa kodi acha maneno
 
Where Mwenyezi Mungu ibariki nchi yetu kwa hatua inayo ifikia leo.
Nishati ya umeme ya uhakika ndio itakayo iwezesha nchi yetu kupaa kiuchumi , hongera kwa serikali kufanya maamuzi ya dhati kuanza mradi huu
 
Haya mawazo yako ni kinyume na katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania

Kinachotakiwa ni kutekeleza yale yatakayowezekana kwa kipindi ambacho wananchi watampa yale yatakayoshindikana yatasubiri Rais anayefuata
Kama mawazo yake ww unachukia nn sasa
 
Hongera mh rais,kasema pesa hipo hata wakitaka advance payment ya 50% Leo hii wanaweza kupata.
Wakimaliza tu masuala ya kibenk wanaweza kupata.
Go go go go go Mh.Rais
 
Hongera mh rais,kasema pesa hipo hata wakitaka advance payment ya 50% Leo hii wanaweza kupata.
Wakimaliza tu masuala ya kibenk wanaweza kupata.
Go go go go go Mh.Rais
Acha kupotosha...
 
View attachment 965550
Baada ya Mradi kuisha
Hiyo miti yote itakuwa imekatwa, na hapo patachimbwa na kujengwa makuta ya masement na mavyuma ya kufua umeme, this view will become extinct henceforth.

I will miss you, The Great Rufiji.
Hili ni eneo la Delta ya Mto Rufiji, ni mbali na eneo la Mradi. Yaani umbali wa bonde hili ulionalo na eneo la Mradi ni sawa na kutoka Chalinze hadi Morogoro, so havihusiani kabisa mzee.
 
Nako muda ukifika tutasema tena suala la bwawa nendeni mkaulize chato
 
anasain yeye au katibu mkuu ujenzi,

Mabwawa ya kidatu,mtera yamekauka,mabadiliko ya tabia nchi,bado mtu anaamini umeme wa maji,umeme wa gesi unatumika asilimia kumi,unakopa tena kujenga mradi mwingine
Umeme unaozalishwa na maji ni gharama nafuu sana ...jukumu letu ni kutunza mazingira... Ethiopia wanajenga bwawa kubwa zaidi yetu vyanzo vikubwa ni mto nile...sisi vipo vingi tumuunge mkono kwani maendeleo ni yetu sote
 
Hongera mh rais,kasema pesa hipo hata wakitaka advance payment ya 50% Leo hii wanaweza kupata.
Wakimaliza tu masuala ya kibenk wanaweza kupata.
Go go go go go Mh.Rais
Naona kakingereza kanakupiga chenga kidogo Mkuu!

Kasema 15% na sio 50%!

Nadhani umeshindwa kutofautisha kimaneno kati ya fifteen percent na fifty percent!
 
Tena wa misri wanajenga ajira na watu wanazunguka watanufaika tofauti na wale Masharki ya mbali...miradi ming wanafanya ila ajira mbovu na hata watu wanazunguka mrad wanaishia hakuna kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…