Amina dada ! Maadui wa maendeleo walaaniwe na kila mtakia heri nchi yetu !Hakuna kitu chochote kinacho mshinda binadamu anaye ongozwa na Mwenye Enzi Mungu walahi
Chapa kazi JPM
Maadui zako wote wafe wao na vizazi vyao milele yote walahi
Kuna mahali nimeonyesha kuchukia mkuu?Kama mawazo yake ww unachukia nn sasa
Hahahahaaa! Ujue labda alitaka kupotosha mkuu ! Si kama hajui kimombo!Naona kakingereza kanakupiga chenga kidogo Mkuu!
Kasema 15% na sio 50%!
Nadhani umeshindwa kutofautisha kimaneno kati ya fifteen percent na fifty percent!
Wewe sio mtanzania ! Rudi kwenu haraka sana !Gas iliishia wapi? Huyu mtu ame-violate internation agreement on wild life conservation of world herritage! Atapigwa kiboko, subiri!
Aswan high dam ilijengwa lini ? Na nani ? Hebu usome kidogo basi sio ku doubt tu bila reference...Ninawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.
Unahaki ya kua na wasiwasi mkuu, ila kumbuka hii sio zama za Jk huyu ni JPM jitu la kuacha positive legacy na sio mutu ya kukubali kushindwa.Nina wasiwasi ikawa white elephant kama gas ya mtwara. Gas ya mtwara ilisemekana kuwa suluhu ya matatizo ya umeme Tanzania, leo hii zimejengwa kinyerezi one hadi three, but all on vain..
Angalia jedwali hapo chini uone jinsi tarrif za TANESCO zinavyoumiza watanzania, huku tuliaminishwa kuwa baada ya gas umeme ungeshuka bei kwa asilimia kubwa. At least serikali hii iliamua kuondoa monthly service charges...View attachment 965556
Rudi huko FB huku hakukufai wewe ! You cant be a GT usijue hata Misri ni nchi yenye uwezo gani !Technology ya kujenga vitu kama hivyo Misri, nchi masikini kama sisis waliipata wapi?
Hili ni eneo la Delta ya Mto Rufiji, ni mbali na eneo la Mradi. Yaani umbali wa bonde hili ulionalo na eneo la Mradi ni sawa na kutoka Chalinze hadi Morogoro, so havihusiani kabisa mzee.
Nashindwa kabisa kuielewa mitanzania sijui imeumbwaje kiakili, nakati tayari imeshatugharimu zaidi ya miaka 54 ya uhuru ndiyo kwaaanza tuko hapa leo hii kiuchumi kwa kuwategemea hao mabepari wa nchi za magharibi, sasa chukulia bado tu akili zetu zimelala na wala hatutaki kujihangaisha kwa kumvumilia Mkuu ili tuikuze nchi yetu sisi wenyewe kwa kupitia wakati mgumu kidogo kimaisha.uchumi tutaujenga wenyewe ukitaka ujengewe uchumi na nchi nyingine sahau. maendeleo ndio maana Mheshimiwa Magufuli aongoze miaka 20 ili tupae kiuchumi.
Atoke wapi huyo Raisi mwingine ikiwa kumpata Raisi mwenye uthubutu wa uzalendo kwa maendeleo ya nchi yetu amepatikana baada ya miaka 50?Haya mawazo yako ni kinyume na katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Kinachotakiwa ni kutekeleza yale yatakayowezekana kwa kipindi ambacho wananchi watampa yale yatakayoshindikana yatasubiri Rais anayefuata
Umenena vyema sana kijanaMkuu tanu ianze Songas na miradi yetu ya MW 200 na miService charge si ishapita hiyo trillion 6? Richmond, Dowansi mara IPTL na ule mradi wa Umeme wa Obama nimeushau jina hapo Ubungo, Jamaa kachoka na kiradi ya kijinga bora ajikurupue tu amalize hizi shida
Hata mia shida akija mwingine atakuja na vipaumbele vyakeIli tupae kiuchumi Anahitaji Aongoze Miaka 20 ili amalizie miradi yake yote, kama ninavompinga jpm na ninapompongeza tuungane mkono makamanda.
Amini usiamini hii ndio itakuwa kiistoria itakavyo someka "raisi aliyekaa miaka mingi madarakani afrika mashariki" nahisi kama si miaka 25 bhasi 35