ulikuwemo IMF?. ACHA UZWAZWA WE POYOYO. IMF wanapanga mipango ya nchi hii?

Well nilichanganya madesa ni hela walizocholopoa kutoka kwa wastaafu but you get the idea; aikuwa source ya serikali.

Hayo madeni ya pension funds ayakulipwa miaka yote ya JK, mpaka alipoingia Magufuli ndio kaanza kuwalipa pension funds.

Halafu university inahusika vipi na serikali kuamia Dodoma. Mie nimeongelea majengo ya serikali we unaleta habari ya university.
 
Unataka kusema na Uhuru wa Tanzania sa100 ndo mwasisi sababu Nyerere hayupo?

Acheni UCHIMVI!!!!

Magu alijenga, sa100 amepaka RANGI na kuweka milango.

Na IKULU ni Mali ya Watanzania.
Soma Zaburi 49.
 
Fact check hapa ya Nini??? Si tulikuwa wakubwa na tuliona nani kajenga Ikulu ya CHAMWINO, Kuna ubishi kwamba aliyejenga ni Magufuli??
 
Habari inamhusu Zuhura Yunus wewe uko na CDM si taahira wewe[emoji23] chadema inahusika vip, mbowe anahuskaje na LISSU kuhusika kwake kupoje? Acha madawa ya kulevya
 
Hahaha
 
Ujenzi umeanzishwa na JPM akiwa Rais akishirikiana na Samia kama Makamu wa Rais.

Baada ya JPM kufa, Ujenzi ukakamilishwa na Samia akishirikiana na Mpango.

Kwa hiyo pongezi wanastahili wote JPM na Samia. Hutaki hama nchi.
 
Habari inamhusu Zuhura Yunus wewe uko na CDM si taahira wewe[emoji23] chadema inahusika vip, mbowe anahuskaje na LISSU kuhusika kwake kupoje? Acha madawa ya kulevya
Post zangu zingine za 14 zimejikita kwenye hii mada, binafsi siwaogopi hao CDM wakitaka hiyo dose waanzishe hiyo mada.

Humu wewe utakuwa mtu wa mwisho kuhusu habari za CDM.
 
Haka kabinti ka magogoni nasikia hakajaolewa wanaume mnafeli wapi?
 
Post zangu zingine za 14 zimejikita kwenye hii mada, binafsi siwaogopi hao CDM wakitaka hiyo dose waanzishe hiyo mada.

Humu wewe utakuwa mtu wa mwisho kuhusu habari za CDM.
Alosema unaogopa ni nani? Yaani uogopwe unayejificha nyuma ya keyboard [emoji23] IKULU IMEJENGWA NA SAMIA SIO CHATO GANG?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…