Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Leo ujamtupia mzigo lissu na chadema kwa magufuli kutokutajwa kwenye uvumbuzi wa ikulu dodomaSisi wananchi tutamtaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ujamtupia mzigo lissu na chadema kwa magufuli kutokutajwa kwenye uvumbuzi wa ikulu dodomaSisi wananchi tutamtaja
ulikuwemo IMF?. ACHA UZWAZWA WE POYOYO. IMF wanapanga mipango ya nchi hii?
🤣🤣CCM wapo shimoni miaka mingi Sana
Hata hawaeleweki.CCM wapo shimoni miaka mingi Sana
Soma Zaburi 49.Unataka kusema na Uhuru wa Tanzania sa100 ndo mwasisi sababu Nyerere hayupo?
Acheni UCHIMVI!!!!
Magu alijenga, sa100 amepaka RANGI na kuweka milango.
Na IKULU ni Mali ya Watanzania.
Fact check hapa ya Nini??? Si tulikuwa wakubwa na tuliona nani kajenga Ikulu ya CHAMWINO, Kuna ubishi kwamba aliyejenga ni Magufuli??Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Habari inamhusu Zuhura Yunus wewe uko na CDM si taahira wewe[emoji23] chadema inahusika vip, mbowe anahuskaje na LISSU kuhusika kwake kupoje? Acha madawa ya kulevyaUnaweza kweli kuandaa makala ya serikali kuamia Dodoma wakati alietekeleza hilo agizo umuache.
Mbowe ameiuwa CDM, Lissu nae kastuka late kumtukana Magufuli akumjengei kaamua attack zake kwa juzi peleka kwa Samia na CCM kwa ujumla.
Hatua za Lissu zimekuja too late, isitoshe narrative anayoongea ni yeye peke yake, wenzake wameshaua credibility ya chama chao kuaminika kama mbadala wa CCM; wananchi wanawaona waganga njaa tu.
CCM ishukuru hakuna chama cha kutembelea upepo wa Magufuli 2025, halafu safu yao yenyewe ilivyo nyepesi sasa kwenye hoja na uwezo; wangesambaratishwa kama upepo.
Endeleeni na kampeni yenu kupigana na Marehemu. Lakini lakini hata Mawe yanajua kwamba ni Marehemu John Joseph Pombe Magufuli.
Alieamua kwa uthubutu mkubwa,kwa uzalendo mkubwa na kwa ujasiri wake...
Kwamba sasa Serikali inaenda Dodoma na Ikulu ianze kujengwa mara moja! Huo ndio ukweli halisi na historia haitabadilishwa kwa njama za mabazazi wachache wa kisiasa na wasakatonge wao!
Haya mengine ni unafiki jazz band ya Msoga Gang & Chawa wa Mama!
Imetoka hiyo!
Soma Zaburi 49.Hahaha
Ujenzi umeanzishwa na JPM akiwa Rais akishirikiana na Samia kama Makamu wa Rais.
Endeleeni na kampeni yenu kupigana na Marehemu. Lakini lakini hata Mawe yanajua kwamba ni Marehemu John Joseph Pombe Magufuli.
Alieamua kwa uthubutu mkubwa,kwa uzalendo mkubwa na kwa ujasiri wake...
Kwamba sasa Serikali inaenda Dodoma na Ikulu ianze kujengwa mara moja! Huo ndio ukweli halisi na historia haitabadilishwa kwa njama za mabazazi wachache wa kisiasa na wasakatonge wao!
Haya mengine ni unafiki jazz band ya Msoga Gang & Chawa wa Mama!
Imetoka hiyo!
Well said!Magufuli alianza ujenzi na Samia akiwa makamu wake. Samia kamalizia ujenzi.
Nadhani ndio sababu kuu za Magufuli kumchangua Samia alimwona kama mtu anayefanana nae kimaono.
Hizi siasa za maji taka zinataka kuwaseparate.
Post zangu zingine za 14 zimejikita kwenye hii mada, binafsi siwaogopi hao CDM wakitaka hiyo dose waanzishe hiyo mada.Habari inamhusu Zuhura Yunus wewe uko na CDM si taahira wewe[emoji23] chadema inahusika vip, mbowe anahuskaje na LISSU kuhusika kwake kupoje? Acha madawa ya kulevya
70% nduguSamia kakuta aslimia kama sikosei 87%.kamalizia sehemu ndogo sana lakini chawa wake wanamtaja yeye kama kaijenga toka mwanzo kumbe hamna lolote
CCM is more than a devil; they are envious of one's individual's positive achievement. This entity needs to be scrapped and ditched foreverHawa jamaa ni kama wanachanganyikiwa sasa. Wamebishana juzi na kuzomeana kwenye misiba sasa wamwhamia kwenye ubishani wa nani kajenga ikulu Rais Samia au Hayati Magufuli?
Ulitaka aliache hivyo, asipake rangi?Sa100 Amepaka tu RANGI na finishing, mjenzi wa Boma ni Magu, sa100 anakabidhi Leo nyumba Kwa mwenye nyumba abaye ni mwananchi.
Tatz nini kukubali issue ndogo namna hii?
Ongea lugha rahisi mkuu sisi wenzako wa St Dumila Sec Schoo hatuchomoliCCM is more than a devil; they are envious of one's individual's positive achievement. This entity needs to be scrapped and ditched forever
Alosema unaogopa ni nani? Yaani uogopwe unayejificha nyuma ya keyboard [emoji23] IKULU IMEJENGWA NA SAMIA SIO CHATO GANG?Post zangu zingine za 14 zimejikita kwenye hii mada, binafsi siwaogopi hao CDM wakitaka hiyo dose waanzishe hiyo mada.
Humu wewe utakuwa mtu wa mwisho kuhusu habari za CDM.