Lakini anastahili kutajwa kwa sababu katika mambo yote mazuri aliyofanya Magufuri ni kuamuru Ikulu ijengwe Dodoma na watumishi wa Serikali pamoja na wizara mbalimbali zihamie Dodoma.Hivyo mchango wake ni mkubwa kwenye hilo kuliko Rais yoyote yule Tanzania.
 
Kwani Faida ya aadhimisho ya kumbukumbu za kitaifa ni yapi?
 
Anzisha chama chako upambane na CCM kwa hiyo nyota ya Magufuli
 
Hili la kutomtaja JPM siyo jambo dogo hata kidogo....jamaa hao kwa kutomtaja wameibua mjadala usio na maana kabisa...Magufuli anajipatia umaarufu na sympathy...ni mbaya kisiasa...ni mbaya kabisa...wanaleta mpasuko ndani ya CCM pasipo sababu...
 
wamekufa marais 3, huyo mbwa wenu ana nini akumbukwe. Amesahaulika baba wa Taifa sembuse jitu katili lililoongoza miaka 5. Hakuna genge pumbavu nchi hii km la kisukuma.
Sijaelewa kwanini umeandika maneno haya yote,read me between the lines chief mimi sikuandika kisiasa niliandika kwa facts so kama unazo hoja na wewe njoo nazo,tunayo shida ya kudhani kila anayeandika jema la Magufuli basi ni mpinzani wa mama but mind you,mimi ni mfanyabiashara (siyo billionaire ni hawa wa kawaida) ila wakati wa Magufuli zipo stage niliumia but still namuheshimu kutokana na vipo alivyovifanya vinanisaidia hadi leo.

Nimesema wapo wanaomkumbuka na tena siyo kwa mabaya bali kwa mazuri hata kama wewe unamuona m'baya vipi huko wewe kumuona m'baya haku-justfy kila mtu amuangalie kwa mtizamo huo na serikali ya sasa kuonyesha chuki za wazi kwake hakuwezi kuyafuta mazuri waliyo nayo mioyoni mwao wale wanaomkumbuka.

Ukiwa mwanasiasa huwezi kunielewa ila iweke akili yako ktk unbiased mode kisha jiulize je mambo yanavyoenda kwa sasa ndivyo yanavyotakiwa kwenda?ukipata jibu kaa nalo mwenyewe ukitafakari.
 
Hivi ma god father hawaoni aibu Kwa jitihada alizo fanya jiwe, na legacy zake?
 
Usi-conclude kwamba Zuhura ameogopa, hayo ni maelekezo kulingana na trending status ya Magufulli ilivyo currently. Zuhura is aware of that too!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…