Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Magu alisema watangulizi wake hawajafanya kitu na sisi tunasema Magu hajafanya kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Braza una hasira kama pakashume.hero wa kumlala mamako. Yule muuaji
Inasemaje?? Maana Biblia iko mbaliSoma Zaburi 49.
Lakini anastahili kutajwa kwa sababu katika mambo yote mazuri aliyofanya Magufuri ni kuamuru Ikulu ijengwe Dodoma na watumishi wa Serikali pamoja na wizara mbalimbali zihamie Dodoma.Hivyo mchango wake ni mkubwa kwenye hilo kuliko Rais yoyote yule Tanzania.Hivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?
Amen nasema tena Amen Mkuu.Sio kweli Magufuli ndo mtu pekee aliyeweza kuthubutu kujenga Ikulu
Kwani Faida ya aadhimisho ya kumbukumbu za kitaifa ni yapi?Hivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?
Anzisha chama chako upambane na CCM kwa hiyo nyota ya MagufuliUnaweza kweli kuandaa makala ya serikali kuamia Dodoma wakati alietekeleza hilo agizo umuache.
Mbowe ameiuwa CDM, Lissu nae kastuka late kumtukana Magufuli akumjengei kaamua attack zake kwa juzi peleka kwa Samia na CCM kwa ujumla.
Hatua za Lissu zimekuja too late, isitoshe narrative anayoongea ni yeye peke yake, wenzake wameshaua credibility ya chama chao kuaminika kama mbadala wa CCM; wananchi wanawaona waganga njaa tu.
CCM ishukuru hakuna chama cha kutembelea upepo wa Magufuli 2025, halafu safu yao yenyewe ilivyo nyepesi sasa kwenye hoja na uwezo; wangesambaratishwa kama upepo.
Hatajwi ili tumuache apumzike.Lakini anastahili kutajwa kwa sababu katika mambo yote mazuri aliyofanya Magufuri ni kuamuru Ikulu ijengwe Dodoma na watumishi wa Serikali pamoja na wizara mbalimbali zihamie Dodoma.Hivyo mchango wake ni mkubwa kwenye hilo kuliko Rais yoyote yule Tanzania.
Hili la kutomtaja JPM siyo jambo dogo hata kidogo....jamaa hao kwa kutomtaja wameibua mjadala usio na maana kabisa...Magufuli anajipatia umaarufu na sympathy...ni mbaya kisiasa...ni mbaya kabisa...wanaleta mpasuko ndani ya CCM pasipo sababu...Hivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?
Mbona Nyerere hamumpumzishi?Hatajwi ili tumuache apumzike.
Nakubaliana na wewe...Legacy yake haiwezi kufutwa kabisa..Amen nasema tena Amen Mkuu.
Legacy yake hakuna mtu wa kuifuta...kamwe nasema tena kamwe.
Anzisha chama chako upambane na CCM kwa hiyo nyota ya Magufuli
Kyekyekyee😁😁😁Kazi ipo ....! Sukuma gang vs Msoga Mob
Sijaelewa kwanini umeandika maneno haya yote,read me between the lines chief mimi sikuandika kisiasa niliandika kwa facts so kama unazo hoja na wewe njoo nazo,tunayo shida ya kudhani kila anayeandika jema la Magufuli basi ni mpinzani wa mama but mind you,mimi ni mfanyabiashara (siyo billionaire ni hawa wa kawaida) ila wakati wa Magufuli zipo stage niliumia but still namuheshimu kutokana na vipo alivyovifanya vinanisaidia hadi leo.wamekufa marais 3, huyo mbwa wenu ana nini akumbukwe. Amesahaulika baba wa Taifa sembuse jitu katili lililoongoza miaka 5. Hakuna genge pumbavu nchi hii km la kisukuma.
Kwa sababu hakuna anayepiga kelele za tumuache apumzike tofauti na walinda legacy!Mbona Nyerere hamumpumzishi?