Kutesa kwa zamu, kaeni kwa kutulia.
Kama wakati wenu mlivyokua mkiwatukana viongozi waliopita na mkafurahia, now day ni zamu yenu kuminywa kagare
 

Nenda kamwambie msajili wa vyama vya siasa atoe kibali; mbona chama kipo kimenyimwa tu kibali na onyo juu kisijekusikika tena.
Kamwambie wewe, kama amegoma fanyeni maandamano, kama huyo Magufuli ana nguvu ya kuitikisa dola

Kupambana na CCM ni kupambana na dola
 
Mama Samia ni noma sana, nchi itakwenda kasi bila kelele
Jiwe alivyoanzisha hiyo miradi alikuja na porojo zake ooh hakuna wa kutekeleza na blaa blaa kibao..

Miradi Ile Ile ilibidi Jiwe asimamishe shughuli kwenye sekta zingine Ili mambo yaende..

Samia is doing all that Kwa speed na sekta zote za Uchumi zimefufuliwa ikiwemo Ajira.

Chezea Samia wewe
 
Huyu wa Sasa kazi yake ni kuita watu stupid.

Hamna analoweza kufanya aisee.
Hauoni Ikulu imekamilika? Bwawa nalo walitudanganya kuwa lingeshakuwa limekamilika kumbe vitu kibao vilisimama mama Samia ndiyo ameenda kulikwamua.
SGR nayo kumbe ilikua imeshaanza kufa, mama Samia ndiyo ameiokoa.

Hela za Plea bargaining kumbe zilishatoroshewa China wakati hatujui, sisi tunaambiwa ndiyo hela zetu za ndani zinajenga nchi. Kumbe wameshazipiga, mama ndiyo anapambana azirudishe.

Bado uchaguzi wetu wa 2020 ulivyoharibiwa na kuivuruga nchi. Sasa hivi mama ndiyo anapambana kuwarudisha watanzania wawwze kukaa pamoja, otherwise nchi ilikua imeshapasuliwa kitambo.
Accounts za watu zikafungwa hovyo na pesa kuchukuliwa, mama ameweza kuwarudishia.

Makinikio yalizuiwa kwa mbwembwe, lakini aliyeyazuia akayaachia kimyakimya kigiza kilipoingia.

Watu wakaondolewa kazini kikatili na mafao yao kuzuiwa, mama sasa hivi yupo kutibu majeraha.

Hivi nyie hebu tuambiane hapa, tuwe wa kweli kabisa. Yule Kamaa alifanikisha kipi kwenye nchi hii?
 
Ndugu yangu Maxence Melo najua wewe una falsafa za kibeberu ndiyo maana ulikuwa humpendi JPM, lakini kupitia fact check tunaomba mtafute ukweli kuhusiana na mjenzi wa ikulu ya Chamwino na mkishaupata mtuletee hapa ili jamii isipotoshwe.

Asante.
We una falsafa gani mkuu

Ova
 
Duh aise hii hatari watu mpaka mnataka kushikana mashati
Humu, taratibu wazee

Ova
 
Iwe mwisho kuwa na Mzazibari atayetawala huku Tanganyika.

Ni watu wenye chuki sana na ni washirikina mno.
We kama nani.
Rudi kwenu Burundi tuachie nchi yetu wenyewe ss hv tuna amani tele
 
Ukiacha zile habari za kuwakumbatia Mwugulu na January Makamba, huku kwingine mama Samia yupo vyema sana.
Kuna mtu aliingia na kuziulia mbali Lindi na Mtwara mpaka mikoa ikaota majani hadi barabarani na kuanzisha miradi ya kujenga kwao.
Yule jamaa hajawahi kuwa na Spirit ya kuwa na umoja kama nchi.
Aliimega Chato kutoka Kagera akapambana kuihamishia Mwanza, so aliongoza kuipunguza Kagera na kuiongeza Mwanza.

Akaanzisha mapambano mapya ya kuipunguza Mwanza na kuiinua Geita kuwa mkoa. Chato iliyoanza safari yake kutokea sijui kijiji sijui kata, ikapanda hadhi na kuwa jimbo na Wilaya.

Baadaye akaanza harakati za kuipunguza Geita kwa kuimega Chato kutoka Geita na kuifanya Chato kuwa mkoa.

Angefanikiwa hili ilikuwa aanzishe mchakato wa kanda ya ziwa kupiga kura ya Kujitenga kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuanzisha The Republic of Chato
 
Unaweweseka, hoja ni ikulu ya chamwino Zuhura Yunus kaisimulia bila kumtaja Dikteta Magufuli. Wewe sukumagang unakuja na hoja ya Mbowe kuiuwa CHADEMA how?

Jadili hoja mezani halafu leta utopolo wako kwa takwimu au tafiti, kwamba toka Mbowe awe kiongozi au majira hii CHADEMA imekufa na utuonyeshe vigezo, otherwise it's another sukumagang pumbavu
 
Amekuzidi kwa kila kitu na ht sasa ana ushawishi
 
Mwisho wa haya yote ni Nini? Ndipo utajuwa huko Serengeti Kuna unabii wa kutisha. Simba mwenye pori lake amevamiwa na Simba madume wakaondoa ufalme wake. Usisahau code Faru John...
 
Unajaribu kupambana na watu waliokuzidi kwa kila kitu.
Wapo juu kuliko nyie Sukuma Gang wote
 
Trump alikuwa rais hivihivi we subiri utaona wakijichanganya Lissu Ikulu 2025

Shida mbowe ni undercover kama ilivyokuwa kwa Lipumba, Mrema, Zitto,cheyo na Seif.

Lissu ndiye mpinzani wa kweli nchi hii ndio maana wakitaka kum eliminate!!!
 
Never!
Hawezi kuacha kumsikiliza JK.
Hiyo ilikuwa tabia ya lile shetani lenu la Chato kudharau watangulizi wake
 
Hoja kubwa ni sio kuwagawa viongozi Ila kukumbuka waliofanya,
Kwani ukimtaja kuwa alianza Nyerere akaja mwingi akaja mkapa akaja kikwete halafu akaja magufuli na samia akamalizia kuna shida gani au unapungukiwa na nini?
Usipomtaja haupungukiwi Wala kuongezeka kitu Ila wenye akili watajiuLIZA.
Kuendeleza uadui kwa mtu ambaye hawezi kukujibu kashalala ni matumizi mabaya ya ubongo,la sivyo unaamua kusema hili jengo wazo limeanza na baba wa taifa halafu Marais waliofuata wakifanya kadri ya nafasi zao na aliyeko madarakani kamalizia
 
Zuhura Yunus unamuonea.
Hata wewe ungekuwa alipo usingefanya tofauti
 
Sukuma Gang mnapata taabu sana. Hamjui mpambane na nani. Mpambane na CCM/Samia au Chadema.

Mnapigwa pote pote
Kwan chadema na ccm si wameungana ili na wao wapate wabunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…