Kusema Samia amefanya hili au jpm kafanya lile ni hakili za kitoto hoja za kitoto,maada za kitoto
Kwani jpm hakutumia pesa zake za mfukoni kuanzisha hili au li le no,
viongozi woote tangu Uhuru fake wamekuwa wakisimamia Mari,na Kodi zetu kuanzisha miradi mbalimbali hapa Tanzania
Na Jambo lingine nikwamba Samia ni mtanzania na jpm ni mtanzania wote wanatumikia au wamewahi kutumikia cheo kimoja Cha u raisi
Hivyo basi Kama jpm alitenda mema ni jema Kwani alikuwa mtanzania na kama Samia amemalizia alicho anzisha jpm tumpongeze pia kwa kujua na kuitambua thamani ya miradi ya jpm
Kwahakili zako unaddhani ikuru hiyo imemaliziwa kwa mzimu wa jpm?
pesa za ujenzi zili tolewa kwa sahihi ya mzimu wa jpm?
Tuache kushabikia mambo ya siyo na maana tuache kuwa gawanya viongozi wetu niushabiki wa kijinga
Je! Samia ni mzungu?
Je! Jpm ni mchina?
Je! Hawa Wote hawa ni raia wa inchigani? USA,JAMAICA, BRAZIL AU TZ???
Nahata Kama tutaenda kwa mienendo hiyo basi tusememe wazo la ikuru hiyo kujengwa Lili anzishwa na baba wa taifa JK
likafanyiwa kazi na jpm lakini aliishia njiani baada ya umauti kumfika
kisha lika maliziwa na aliye kuwa makamu wake na baadae kuja kuwa raisi mh ssh
sio hili amefanya huyu au yule tunawa vunja mioyo viongozi wetu
Hata lile bwawa la nyelele linaitwa hivyo kwa sababu Wazo Lili zaliwa kwenye hakili ya nyelele
sasa je tumdharau jk kuanzisha mradi huo nakumsifia jpm kuwa ndiye aliye Jenga?
Au tumdharau jpm kwa kulianzisha kulijenga Kisha akaishia njiani na kumdharau Samia kwa kulimalizia.?
Kwakifupi viongozi wetu wote wamefanya kazi kubwa ya kusimamia Kodi zetu japo wanatupigia kisisiasa
Kama baba wakambo aliye uza gunia 300 za mahindi kwenye shamba la family kwa bei ya laki kila gunia
Kisha akatununulia yebo mpya na sale za shule zenye thamani ya 50000/=tsh kwa pamoja
Kisha tukamshukuru nakumpongeza kumbe kwa bashasha kumbe kuna hera nyingi kabaki nazo anaenda kulia Bata na maraya bar
Huku nyumba inavuja,umeme hakuna,maji hakuna,nyumba ya nyasi,
But any way
tunapaswa kuwapongeza wote kwa kazi kubwa mkuu👣👣