Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?
Unaweza kweli kuandaa makala ya serikali kuamia Dodoma wakati alietekeleza hilo agizo umuache.

Mbowe ameiuwa CDM, Lissu nae kastuka late kumtukana Magufuli akumjengei kaamua attack zake kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Hatua za Lissu zimekuja too late, isitoshe narrative anayoongea nini yeye pekee yake, wenzake wameshaua credibility ya chama chao kuaminika kama mbadala wa CCM; wananchi wanawaona waganga njaa tu.

CCM ishukuru hakuna chama cha kutembelea upepo wa Magufuli 2025, halafu safu yao yenyewe ilivyo nyepesi sasa kwenye hoja na uwezo; wangesambaratishwa kama upepo.
Sukuma Gang mnapata taabu sana. Hamjui mpambane na nani. Mpambane na CCM/Samia au Chadema.

Mnapigwa pote pote
 
Mwalimu Nyerere,ndio mwanzilishi,na alishiriki mpaka kuchimba mitaro,kupeleka maji hapo,Chamwino,alikaa kwenye kambi hapo,karibia miezi mitatu,na hakuwa na ulinzi mkubwa .
kweli lakini Magufuli alionyesha nia ya dhati kutimiza ndoto iyo ya Mwalimu Nyerere ya Ikulu kujengwa Dodoma pamoja na kuhamishia shughuli za serikali huko.
 
F9A833FC-6AF8-420E-A019-B3D92C82BF01.jpeg
 
Kuna nguvu kubwa sana inatumika kujaribu kumficha Late Magufuli but ukweli wanaujua wananchi waliokuwa wanateseka kabla hajaongoza nchi.

Hawa hata kama atafichwa vipi still wanaujua umuhimu wake,hatutegemei mtu kama zuhra au yeyote yule aliyeko kwenye circle ya serikali ya leo amtaje Magufuli kwa zuri maana siye anayemlipa.

NB;mimi siyo mwanasiasa ila naongea uhalisia ulivyo.

Kunywa dawa ya panya ukalitaje wewe lile liuwaji huko kuzimu liliko 😜😜😜
 
Back
Top Bottom