Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?
Sukuma Gang mnapata taabu sana. Hamjui mpambane na nani. Mpambane na CCM/Samia au Chadema.

Mnapigwa pote pote
Mie ata sijui sukuma gang ni hakina nani; interest zangu ni kuona mlalahoi anapata nafuu katika maisha.

Muda wenyewe wa kuishi Tanzania wastani ni miaka 65, kuna watu toka wanazaliwa mpaka wanaaga dunia kunywa soda tu ilikuwa ni luxury katika uhai wao; now that is sad.

Wakati mijitu inagawa mali za nchi ovyo, inawakaba na mitozo watu maskini, kuiba hela zao zilitengwa kuwaletea maendeleo na kupewa viongozi wasio na maono.

Hiko ndio kinachokera yaani kula chips kuku tu mtu anapiga picha ya kuringishia. Walau Magufuli alikuwa na huruma na hawa watu na kujaribu alivyoweza kuwapa unafuu.
 
Unaweza kweli kuandaa makala ya serikali kuamia Dodoma wakati alietekeleza hilo agizo umuache.

Mbowe ameiuwa CDM, Lissu nae kastuka late kumtukana Magufuli akumjengei kaamua attack zake kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Hatua za Lissu zimekuja too late, isitoshe narrative anayoongea nini yeye pekee yake, wenzake wameshaua credibility ya chama chao kuaminika kama mbadala wa CCM; wananchi wanawaona waganga njaa tu.

CCM ishukuru hakuna chama cha kutembelea upepo wa Magufuli 2025, halafu safu yao yenyewe ilivyo nyepesi sasa kwenye hoja na uwezo; wangesambaratishwa kama upepo.
Lissu amestuka, jukwaani huwezi mtukana Magu Raia wakakuelewa.

Mapungufu ya Magu walaumiwe CCM, hapo ndipo CDM inaweza win mioyo ya Watanzania wote.

Pia CDM iache urafiki na Mzee wa msoga, huyo ndo chanzo Cha Umaskini na mkwamo Kwa Watanzania.

Magu anabaki kuwa HERO na atatajwa miaka mingi ijayo,wapende au wasipende.
 
Ana mlima mkubwa kweli wakupanda, sioni akieleweka maana yeye na wenzake wanaongea lugha tofauti. Chama ni msimamo sio kauli za mtu mmoja mmoja.
 
Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.

Watanxania wanataka maji, watanzania wanataka barabara, watanzania wanataka umeme, watanzania wanataka huduma bora za afya.
Watanzania wala hawana shida ya kujua nani hajatajwa kwenye ujenzi wa Ikulu.

Haya si ndiyo yakikua maneno ya kipindi kike? Au tunakosea wajameni?
 
Ana mlima mkubwa kweli wakupanda, sioni akieleweka maana yeye na wenzake wanaongea lugha tofauti. Chama ni msimamo sio kauli za mtu mmoja mmoja.
Saiz wananchi hawadanganyiki, wanajua Kweli.

Utaona hata KARIAKOO, wafanyabiashara wamekwepa wanasiasa wakijua lao moja.

Makundi yote yanaelekea kuungana kupinga udhalimu.

Na hapo ndipo Katiba mpya itapatikana.
 
Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.

Nilikwambia Historia Huwa inaandikwa na Washindi 😁😁

Huyo mwingine atatamkwa tuu Leo ila kwenye official writing hatokuwepo.
 
Saiz wananchi hawadanganyiki, wanajua Kweli.

Utaona hata KARIAKOO, wafanyabiashara wamekwepa wanasiasa wakijua lao moja.

Makundi yote yanaelekea kuungana kupinga udhalimu.

Na hapo ndipo Katiba mpya itapatikana.
Tatizo lenyewe mafisadi ni vilaza they just don’t know that, ni mijitu mihuni inayoishi kwenye dunia yao.

Ndio kama topic ya hii mada; unaweza kweli kuongelea Ikulu ya Chamwino bila ya kumtaja aliejenga, halafu wananchi wasiulize kulikoni.

Wana tabia ya kujiongopea na kuishi kwenye uongo wao.
 
Back
Top Bottom