Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?


Endeleeni na kampeni yenu kupigana na Marehemu.
Lakini lakini hata Mawe yanajua kwamba ni Marehemu John Joseph Pombe Magufuli.

Ndie alieamua kwamba sasa Serikali inaenda Dodoma na Ikulu ianze kujengwa mara moja!
Huo ndio ukweli haya mengine ni unafiki jazz band ya Msoga Gang & Chawa wa Mama!
Imetoka hiyo!


Hawa mashahidi wote wamemnawa!!!

Siasa ni mbaya kuliko ubaya wenyewe
Screenshot_20230520_110824_Samsung Internet.jpg
 
Magufuli alianza ujenzi na Samia akiwa makamu wake. Samia kamalizia ujenzi.
Nadhani ndio sababu kuu za Magufuli kumchangua Samia alimwona kama mtu anayefanana nae kimaono.
Hizi siasa za maji taka zinataka kuwaseparate.
 
Saiz wananchi hawadanganyiki, wanajua Kweli.

Utaona hata KARIAKOO, wafanyabiashara wamekwepa wanasiasa wakijua lao moja.

Makundi yote yanaelekea kuungana kupinga udhalimu.

Na hapo ndipo Katiba mpya itapatikana.
Saa 100 naona anaendelea kushupaza shingo kuna siku atatolewa ikulu na maandamano ya watu kukosa haiki na kuwakumbatia mafisadi
 
Hii nchi in wajinga wengi Sana jaman

Kumtaja mtu katika andiko Hilo kutashusha Bei ya unga wa ugal?

Au kutaongeza nafas za ajira kwa vijana

Aliyesema watanzania wana uwezo mdogo wa kufikiri Wala hajakosea

Mnalumbana kutajana majina wakat Hal ya maisha inazid kuwa ngumu na mkikaa wenyewe mnalaumu serikal badala ya kuchukua hatua

ALIYEIROGA TANZANIA ALITUWEZA SANA
Nyerere aanapotajwa kila siku na kwenye uzinduZi huu anatajwa sana,anakuongeza kipato kiasi gani,
Why not alietimiza wazo?

Laana itawaandama sana kwa hii tabia yenu ya kijinga sana
 
Ukienda vijijini ukasema wewe ni mswahili Kutoka pwani, utaonekana mvivu, Mwizi, mjanja mjanja.

Unafiki ni sifa kuu ya waswahili,

Ni maadui wa KWELI, ingawa wapo pia viongozi mahiri Kutoka pwani Kwa uchache, mf Maalum Self, Salim Ahmad, Mzee Karume nk nk.
Watu wa pwani hasa zanzibar ni wavivu kupindukia hilo halina ubishi
 
Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.

Siku ikijua kuwa rais tuliye naye alizaliwa "makunduuchi ndiyo utajua nini kinaendelea nchini
 
Magufuli alianza ujenzi na Samia akiwa makamu wake. Samia kamalizia ujenzi.
Nadhani ndio sababu kuu za Magufuli kumchangua Samia alimwona kama mtu anayefanana nae kimaono.
Hizi siasa za maji taka zinataka kuwaseparate.
Hamna,alimchagua kwakua aliona ni mwanamke hana ushawishi wala nguvu kama wanawake wanavyodharaulika usukumani🙏na ndio maana hakumshirikisha mambo mengi alipokuwa rais Hadi maza alitaka kujiuzulu🤣
 
Back
Top Bottom