Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Mimi nilikuwa na shukran na Kikwete, uliza wakongwe wa JF ilikuwa patachimbika hapa ukimtukana J.K, kila zama na kitabu chake.Kwa hiyo siku hizi miradi ni majengo ya serikali tu?
Wafuasi wengi wa jiwe ni wapumbavu eti niwe na shukurani, huyo jiwe ndo anatakiwa kuwa na shukurani dhidi yangu kwa sababu aliweza kuishi maisha ya kifahari hapa duniani kwa kuwezeshwa na kodi yangu.
Kabla ya kutaka niwe na shukurani dhidi ya jiwe ww mbona hujawa na shukurani dhidi ya Kikwete kwa aliyo yafanya badala yake unamuita tapeli?
Au jiwe ndo anaye sitahili kusifiwa na wengine wanasitahili kukejeliwa?
Muda wake umeisha na yeye alikuwa na mazuri na mabaya yake fine ndio siasa za africa kutesa kwa zamu.
Umeshamaliza muda wako pumzika basi Msoga waache na wenzako waendeshe nchi wanavyojua wao, walete maendeleo wanavyojua wao.
Nilipoona sio muungwana na mtu mwenye tabia za narcissistic kila saa anataka atokee kwenye media ndipo nilipoanza kumuona wa ovyo. Ndugu watu wakikupigia picha nyumba aliyo mnunulia binti yake Mwanaisha na mumewe Albert Marwa nje ya London ndio utajua huyo mtu ana mihela.
Waafrica wanaelewa ndio culture yetu watu wakipata madaraka ndio maana usikii malalamiko, tosheka basi. Ata Lowassa’s wanawashinda Regina Lowassa ubunge viti maalum aliwaambia CDM kuna mtu ana stahili hiyo nafasi kushinda mimi mpeni; yeye yupo sawa. Sio Kikwete’s baba mtu ana self grandiose syndrome kutwa kwenye media mimi hivi mimi vile, enzi zangu sijui ilikuwa hivi, ndio nikaamua kufanya abc kila siku tumechoka story zake; mama mtu tamaa ubunge wa nini Salma Kikwete.
Funny enough ni mzazi mzuri watoto zao wote wanajitegemea wenyewe, sasa nini tena anataka zaidi ya kuacha Tanzania iende yenyewe na vyombo vyake; yeye kwake no anadhani anajua what’s best for Tanzania kushinda mwingine yeyote hapo ndipo nilipoanza kumuona huyu mzee kumbe hana maana.