ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Spot on..Mchango wake tunaujua hata wakifunika funika. He is one of the best things to ever happen in Tanzanian history and Africa at large.
Hapa nitamtetea sana, hakuwahi ku claim credit kwa miradi ya watangulizi wake, tena aliwapa sifa zao bila unafiki.Hata magufuli enzi za uhai wake alipokuwa akizindua miradi mbali mbali iliyoasisiwa na watangulizi wake alikuwa akitajwa kuwa ni yeye ndiye kaijenga. Kwahiyo tuache nongwa..Tumwache Samia achape KAZI na KAZI iendelee!
Sasa kama alikuwa anaiba na kujenga nchi huoni kwamba wizi wake ulikuwa ni mzuri na wenye faida!!!!!!Tutaelewana tu
Hii ndio hali ya Jizi mwendazake magufuli aliyotufanyia
Duhh,ako saigilo aqoloee!!kwanza Magufuli hakuijenga ile ikulu, alianza ujenzi machi 2020, Magufuli amekufa machi 2021, alijengea kaburini? Sema aliweka jiwe la msingi. washamba wa kisukuma unaona hata kujitambulisha uko nao nchi moja. Ni majinga ndio maana yanaua kila mara. Hii nchi inajengwa nasi sote. Yule Magufuli alivyokuwa hana akili hii miradi asingeweza kuikamilisha. Tumshukuru Mungu ametunusuru
Ndivyo dini yako inavyokuambia?Sasa kama alikuwa anaiba na kujenga nchi huoni kwamba wizi wake ulikuwa ni mzuri na wenye faida!!!!!!
Tutaelewana TU!!!!!!
Kwa hiyo kilichokuwa kinafunguliwa leo ni nini kama siyo jengo la serikali. Ukiamini kuwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hutajibu pumba hizi. Magufuli alipitia ramani ya jengi hili na kuidhinisha kabla hata ujenzi haujaanza. Kikwete alikuwa anajua hata kukagua ramani za majengo. Mama SDamia amekuta jengo liko karibu 70% akasimamia kukamilisha ile 30% iliyokuwa imebaki. Wale tausi alliopewa Kikwete na maguifuli alipewa kutokea hapo hapo jengo likiwa limeshasimama. Msikilize Kikwete mwenyewe wakati huo hapa kuanzia dakika ya tatuKwa hiyo siku hizi miradi ni majengo ya serikali tu?
Wafuasi wengi wa jiwe ni wapumbavu eti niwe na shukurani, huyo jiwe ndo anatakiwa kuwa na shukurani dhidi yangu kwa sababu aliweza kuishi maisha ya kifahari hapa duniani kwa kuwezeshwa na kodi yangu.
Kabla ya kutaka niwe na shukurani dhidi ya jiwe ww mbona hujawa na shukurani dhidi ya Kikwete kwa aliyo yafanya badala yake unamuita tapeli?
Au jiwe ndo anaye sitahili kusifiwa na wengine wanasitahili kukejeliwa?
Ndiyo kwani we dini Yako inakeambiaje?Ndivyo dini yako inavyokuambia?
Dini gani hiyo au ya Marehemu mungu WanyonyiNdiyo kwani we dini Yako inakeambiaje?
Unaongea kinyume mkuu au umekosea? Nitajie watu watano wanaochukiwa zaid na wanatajwatajwa zaid dunian baada ya kufa kwao mimi nitakutajia watu 10 unaowajua zaid kwa wema wao dunianiVITA VINAENDELEA.magufuli uko alipo anatakiwa ajiulize kwanini anachukiwaa?
Umeishiwa hoja pole mi nawajua sana nyie manyumbu hoja zenu chache sana na ni zile zile hazina afya dhaifu mno yaani chuma yuko kaburini ila anawatesa sana mlimuua Ili mlipoteze jina na sifa zake ila wapi mkitua dar mnakutana na mnaingia magufuli terminal mnapiga na selfie Dodoma magufuli city ikulu mara sgr bwawa la Nyerere Mara fly over umeme mpaka huko kwenu nanjilinji elimu Bure masikio ya kisasa ukimzunguzia mwamba jiwe yaani unazungumzia dude kubwaaa sana na Samia Bado ni legacy yake aliyoiacha ndiyo maana anaendeleza miradi yote vyema kabisaDini gani hiyo au ya Marehemu mungu Wanyonyi
Umeishiwa hoja pole mi nawajua sana nyie manyumbu hoja zenu chache sana na ni zile zile hazina afya dhaifu mno yaani chuma yuko kaburini ila anawatesa sana mlimuua Ili mlipoteze jina na sifa zake ila wapi mkitua dar mnakutana na mnaingia magufuli terminal mnapiga na selfie Dodoma magufuli city ikulu mara sgr bwawa la Nyerere Mara fly over umeme mpaka huko kwenu nanjilinji elimu Bure masikio ya kisasa ukimzunguzia mwamba jiwe yaani unazungumzia dude kubwaaa sana na Samia Bado ni legacy yake aliyoiacha ndiyo maana anaendeleza miradi yote vyema kabisa
We Mungu wako ni nani?Hiyo ndiyo dini yako ?? mungu wenu magufuli keshakufa , hujajua tu ??
Huyo huyo baba yako alietoa shawahawa zake kuzaa toto tahira kama wewe sijui anaitwa nani huyo baba yako mzoga unaonukaBaba yangu haitwi Magufuli 😜😜
Mishipa ya shingo isikutoke, kanywe kilozoni ulifuate kuzimu ukalisifu liuwaji jizi la kura
Anayestahili credits ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kwa hiyo kilichokuwa kinafunguliwa leo ni nini kama siyo jengo la serikali. Ukiamini kuwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hutajibu pumba hizi. Magufuli alipitia ramani ya jengi hili na kuidhinisha kabla hata ujenzi haujaanza. Kikwete alikuwa anajua hata kukagua ramani za majengo. Mama SDamia amekuta jengo liko karibu 70% akasimamia kukamilisha ile 30% iliyokuwa imebaki. Wale tausi alliopewa Kikwete na maguifuli alipewa kutokea hapo hapo jengo likiwa limeshasimama. Msikilize Kikwete mwenyewe wakati huo hapa kuanzia dakika ya tatu
Unafiki hausaidii
Anachukiwa sababu ya wapambe wake, wapambe ndiyo wanapalilia chuki ikue dhidi ya JPM, sababu wana agenda wanaziandaa kupitia hizo chuki.VITA VINAENDELEA.magufuli uko alipo anatakiwa ajiulize kwanini anachukiwaa?
1985 nilifanikiwa kuingia Ikulu ya Chamwino, huyo mnayemshadadia na kumsema eeti Magufuli wakati huo alikuwa wapi? Ikulu ya Chamwino= NyerereMwalimu Nyerere, ndio mwanzilishi,na alishiriki mpaka kuchimba mitaro, kupeleka maji hapo, Chamwino, alikaa kwenye kambi hapo karibia miezi mitatu, na hakuwa na ulinzi mkubwa .