Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?
Hata magufuli enzi za uhai wake alipokuwa akizindua miradi mbali mbali iliyoasisiwa na watangulizi wake alikuwa akitajwa kuwa ni yeye ndiye kaijenga. Kwahiyo tuache nongwa..Tumwache Samia achape KAZI na KAZI iendelee!
Hapa nitamtetea sana, hakuwahi ku claim credit kwa miradi ya watangulizi wake, tena aliwapa sifa zao bila unafiki.

Kacheki clip za uzinduzi terminal 3, daraja la Kigamboni, Kinyerezi pia etc, tena angetaka sana sifa hata JNHPP, SGR etc angezipa majina yake.

Taja project ambayo hakutoa sifa kwa mastermind.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
kwanza Magufuli hakuijenga ile ikulu, alianza ujenzi machi 2020, Magufuli amekufa machi 2021, alijengea kaburini? Sema aliweka jiwe la msingi. washamba wa kisukuma unaona hata kujitambulisha uko nao nchi moja. Ni majinga ndio maana yanaua kila mara. Hii nchi inajengwa nasi sote. Yule Magufuli alivyokuwa hana akili hii miradi asingeweza kuikamilisha. Tumshukuru Mungu ametunusuru
Duhh,ako saigilo aqoloee!!
 
Kwa hiyo siku hizi miradi ni majengo ya serikali tu?
Wafuasi wengi wa jiwe ni wapumbavu eti niwe na shukurani, huyo jiwe ndo anatakiwa kuwa na shukurani dhidi yangu kwa sababu aliweza kuishi maisha ya kifahari hapa duniani kwa kuwezeshwa na kodi yangu.

Kabla ya kutaka niwe na shukurani dhidi ya jiwe ww mbona hujawa na shukurani dhidi ya Kikwete kwa aliyo yafanya badala yake unamuita tapeli?
Au jiwe ndo anaye sitahili kusifiwa na wengine wanasitahili kukejeliwa?
Kwa hiyo kilichokuwa kinafunguliwa leo ni nini kama siyo jengo la serikali. Ukiamini kuwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hutajibu pumba hizi. Magufuli alipitia ramani ya jengi hili na kuidhinisha kabla hata ujenzi haujaanza. Kikwete alikuwa anajua hata kukagua ramani za majengo. Mama SDamia amekuta jengo liko karibu 70% akasimamia kukamilisha ile 30% iliyokuwa imebaki. Wale tausi alliopewa Kikwete na maguifuli alipewa kutokea hapo hapo jengo likiwa limeshasimama. Msikilize Kikwete mwenyewe wakati huo hapa kuanzia dakika ya tatu

Unafiki hausaidii
 
VITA VINAENDELEA.magufuli uko alipo anatakiwa ajiulize kwanini anachukiwaa?
 
VITA VINAENDELEA.magufuli uko alipo anatakiwa ajiulize kwanini anachukiwaa?
Unaongea kinyume mkuu au umekosea? Nitajie watu watano wanaochukiwa zaid na wanatajwatajwa zaid dunian baada ya kufa kwao mimi nitakutajia watu 10 unaowajua zaid kwa wema wao duniani
 
Dini gani hiyo au ya Marehemu mungu Wanyonyi
Umeishiwa hoja pole mi nawajua sana nyie manyumbu hoja zenu chache sana na ni zile zile hazina afya dhaifu mno yaani chuma yuko kaburini ila anawatesa sana mlimuua Ili mlipoteze jina na sifa zake ila wapi mkitua dar mnakutana na mnaingia magufuli terminal mnapiga na selfie Dodoma magufuli city ikulu mara sgr bwawa la Nyerere Mara fly over umeme mpaka huko kwenu nanjilinji elimu Bure masikio ya kisasa ukimzunguzia mwamba jiwe yaani unazungumzia dude kubwaaa sana na Samia Bado ni legacy yake aliyoiacha ndiyo maana anaendeleza miradi yote vyema kabisa
 
Hiyo ndiyo dini yako ?? mungu wenu magufuli keshakufa , hujajua tu ??
 
Baba yangu haitwi Magufuli 😜😜

Mishipa ya shingo isikutoke, kanywe kilozoni ulifuate kuzimu ukalisifu liuwaji jizi la kura
Huyo huyo baba yako alietoa shawahawa zake kuzaa toto tahira kama wewe sijui anaitwa nani huyo baba yako mzoga unaonuka
 
Kwa hiyo kilichokuwa kinafunguliwa leo ni nini kama siyo jengo la serikali. Ukiamini kuwa mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hutajibu pumba hizi. Magufuli alipitia ramani ya jengi hili na kuidhinisha kabla hata ujenzi haujaanza. Kikwete alikuwa anajua hata kukagua ramani za majengo. Mama SDamia amekuta jengo liko karibu 70% akasimamia kukamilisha ile 30% iliyokuwa imebaki. Wale tausi alliopewa Kikwete na maguifuli alipewa kutokea hapo hapo jengo likiwa limeshasimama. Msikilize Kikwete mwenyewe wakati huo hapa kuanzia dakika ya tatu

Unafiki hausaidii

Anayestahili credits ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kula chuma hiko
 
Attachments

  • Screenshot_20230520-174504.jpg
    Screenshot_20230520-174504.jpg
    275.6 KB · Views: 1
VITA VINAENDELEA.magufuli uko alipo anatakiwa ajiulize kwanini anachukiwaa?
Anachukiwa sababu ya wapambe wake, wapambe ndiyo wanapalilia chuki ikue dhidi ya JPM, sababu wana agenda wanaziandaa kupitia hizo chuki.
Kuna kundi wanalihitaji ili watimize agenda zao, na kulipata kundi hilo inabidi walitie unyonge, na jinsi ya kulitia unyonge ndipo kuna kundi linajitokeza kumuimba kila siku huku wakishambulia viongozi waliopo.
Kundi hili hiwa linajifanya kumsifia huku likisikitishwa mambo yanavyoenda wakudai enzi zake haikua hivi.
Wanapoanza kujibiwa huitana na kuzidi kufungua nyuzi zaidi ili tu chuki iendelee kukua ili wafanikishe ya kwao
 
Mwalimu Nyerere, ndio mwanzilishi,na alishiriki mpaka kuchimba mitaro, kupeleka maji hapo, Chamwino, alikaa kwenye kambi hapo karibia miezi mitatu, na hakuwa na ulinzi mkubwa .
1985 nilifanikiwa kuingia Ikulu ya Chamwino, huyo mnayemshadadia na kumsema eeti Magufuli wakati huo alikuwa wapi? Ikulu ya Chamwino= Nyerere
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, bila Magufuli pale Dodoma kusingekuwa makao makuu ya nchi, Magufuli amepambana Sana Sana kuhakikisha kuwa Leo hii Dodoma imesimama imara kama makao makuu ya nchi.

Magufuli ndiye amelifufua wazo hili ambalo limedumu tangu enzi za mwalimu Nyerere mpaka Jana Ikulu imesimama, sasa je n'nani huyo aliyethubutu kulifanya hili?

Mwalimu Nyerere yeye alileta hili wazo, hakufanya chochote Ila Dodoma jina tu.

Mwinyi ndio kabisa hakufanya lolote. Na wakati huohuo hata Mkapa na Kikwete nao vilevile.

Magufuli yeye amethubutu pakubwa kuhakikisha kuwa Leo hii Dodoma imekuwa kama hivyo, jamani n'nani hakuliona hili? Magufuli amejenga mfano wa Ikulu ya muda huku hii ikijengwa inamaana yeye ndiye alilifufua wazo la mwalimu Nyerere na akalifanyia kazi, Magufuli yeye amefariki huku Ikulu ikijengwa na Rais Samina akashika hatamu.

Kwahiyo Magufuli ana mchango mkubwa Sana Katika ujenzi wa Ikulu hiyo, watu hawaoni wanajifanya macho kuziba.
 
Back
Top Bottom