Huyo mama (Zuhura) alikuwa na chuki binafsi na JPM hata kabla hajafa. Mengine mnaisingizia "system" bure.kweli kabisa huenda system imemwambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mama (Zuhura) alikuwa na chuki binafsi na JPM hata kabla hajafa. Mengine mnaisingizia "system" bure.kweli kabisa huenda system imemwambia
Endeleeni na kampeni yenu kupigana na Marehemu. Lakini lakini hata Mawe yanajua kwamba ni Marehemu John Joseph Pombe Magufuli.
Alieamua kwa uthubutu mkubwa,kwa uzalendo mkubwa na kwa ujasiri wake...
Kwamba sasa Serikali inaenda Dodoma na Ikulu ianze kujengwa mara moja! Huo ndio ukweli halisi na historia haitabadilishwa kwa njama za mabazazi wachache wa kisiasa na wasakatonge wao!
Haya mengine ni unafiki jazz band ya Msoga Gang & Chawa wa Mama!
Imetoka hiyo!
Fala wewe, ulikuwa mhasibu au CAG ambaye anatakwimu za namna pesa zilikuwa zikiibwa?!Lile liuwaji lilikuwa likiwaibia watu pesa bank kutaka kujenga Chato Airport
Endeleeni na kampeni yenu kupigana na Marehemu. Lakini lakini hata Mawe yanajua kwamba ni Marehemu John Joseph Pombe Magufuli.
Alieamua kwa uthubutu mkubwa,kwa uzalendo mkubwa na kwa ujasiri wake...
Kwamba sasa Serikali inaenda Dodoma na Ikulu ianze kujengwa mara moja! Huo ndio ukweli halisi na historia haitabadilishwa kwa njama za mabazazi wachache wa kisiasa na wasakatonge wao!
Haya mengine ni unafiki jazz band ya Msoga Gang & Chawa wa Mama!
Imetoka hiyo!
Endeleeni na kampeni yenu kupigana na Marehemu. Lakini lakini hata Mawe yanajua kwamba ni Marehemu John Joseph Pombe Magufuli.
Alieamua kwa uthubutu mkubwa,kwa uzalendo mkubwa na kwa ujasiri wake...
Kwamba sasa Serikali inaenda Dodoma na Ikulu ianze kujengwa mara moja! Huo ndio ukweli halisi na historia haitabadilishwa kwa njama za mabazazi wachache wa kisiasa na wasakatonge wao!
Haya mengine ni unafiki jazz band ya Msoga Gang & Chawa wa Mama!
Imetoka hiyo!
Hajaandaa yeye kaandaliwaZuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Kwa pesa yakeKwa pesa yake au kodi za wananchi? Mnakera mnoo.
Sa100 Amepaka tu RANGI na finishing, mjenzi wa Boma ni Magu, sa100 anakabidhi Leo nyumba Kwa mwenye nyumba abaye ni mwananchi.IKULU IMEJENGWA NA SAMIA
Na Bado sukuma.gang mtalia sana wakati wa uzinduzi wa bwawa mwakani..
Kuanzisha sio kujenga na Wala sio kufanikisha
Alokataa nani.
Endeleeni na kampeni yenu kupigana na Marehemu. Lakini lakini hata Mawe yanajua kwamba ni Marehemu John Joseph Pombe Magufuli.
Alieamua kwa uthubutu mkubwa,kwa uzalendo mkubwa na kwa ujasiri wake...
Kwamba sasa Serikali inaenda Dodoma na Ikulu ianze kujengwa mara moja! Huo ndio ukweli halisi na historia haitabadilishwa kwa njama za mabazazi wachache wa kisiasa na wasakatonge wao!
Haya mengine ni unafiki jazz band ya Msoga Gang & Chawa wa Mama!
Imetoka hiyo!
Nawatumikia hapa hapa,huko wapinunakotaka niende?Kawatumikie mabeberu huko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zuhura Yunis wewe hukuwepo Tanzania hivyo huwezi kujua, wewe ulitoka kuwatumikia mabeberu ukaletwa tu hapo ikulu, sasa angalia hii video kujua chuma kilicho jenga hiyo ikulu.
Wewe huna akili yupo wapi kina ulimbokwa,Yule muandishi aliyepigwa bomu na wengine wengi waliyoumia enzi za kikwete?wewe na wenzako ni waovu na hamfai na mnatakiwa kupigwa VitaSawa yupo wapi Ben sanane?
Anzory Gwanda?
Akwilin Akwili?
Nani alimpiga risasi Tundu Lisu?
Huyo ndiyo Muovu sasa
Hamna,alimchagua kwakua aliona ni mwanamke hana ushawishi wala nguvu kama wanawake wanavyodharaulika usukumani[emoji120]na ndio maana hakumshirikisha mambo mengi alipokuwa rais Hadi maza alitaka kujiuzulu[emoji1787]