Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,973
- 2,239
Nenda google andika Sri Lanka economic ranking, kisha google na Tanzania economic ranking utapata majibu.Siyo kweli, per Capital income ya Sri Lanka ni mara mbili ya Tanzania, na hicho ni kipimo cha umaskini wa nchi husika!
Nenda google andika Sri Lanka economic ranking, kisha google na Tanzania economic ranking utapata majibu.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Lakini bado Sri lanka imetuzidi Tanzania tena kwa mbali tu, kwa maana nyingine bado maisha ya mtu wa Sri Lanka ni bora kuliko Tanzania!
Wameenda kuiondoa CCM yao madarakani!Huko ikulu wameenda kufanya nn?
Yaan nyie mbulula wa ccm mnafikir nchi hii ni ya kwenu. Watu wamepewa nchi na wameshindwa kuindesha na bado hawataki kutoka unataka wafanyweje Sasa. Sheli hazina mafuta watu wanataabika sana vyiongoz wapo wapo tuHaya ndio matatizo ya kutaka katiba yenye uhuru uliopitiliza!!
matokeo yake ndio haya.
katiba lazima iwe na mipaka
Kwamba wanaowasha mwenge wamelaaniwa kama ilivyoandikwa toka katika Maandiko Matakatifu, au siyo [emoji848][emoji28]Mpaka tuache kuwasha mwenge ndio akili zotatukaa sawa