matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha woga wewe mjambiani mpumbavu .. sa100 must go to jail
Vipi kuhusu Singapore
Is there a need to DEPOPULATE Singapore?Iko overpopulated na watu huko wanaishi kama kuku kwenye makasha/cages.
Lets look on other Parameters... Tabora ina km za mraba 72,000 na ina watu milioni mbili na ushehe.
Kisiwa kikuu cha Sri lanka kina km za mraba 65,000 na kuna watu milioni ishirini na moja!
Unategemea hali ya maisha itakuwaje kisiwani humo?
Yani idadi ya wa Sri lanka ni sawa na idadi ya wacanada wanaoishi kwenye takriban 10,000,000 km sq.
I like your theories. You sound like a super ELITE.Overpopulation itasababisha matatizo makubwa na ghasia sehemu nyingi duniani kadri hali ya maisha itakavyokaza. Binadamu wakiwa wengi sehemu moja bila kazi au chakula watalipuka tu, lakini pia Overpopulation inasababisha ajira kuwa chache na ushindani mkubwa wa rasilimali.
I like your theories. You sound like a super ELITE.
Sasa hapo kwa msingi huo watu wapewe CHANJO.
Hii itasaidia sana kuondoa overpopulation.
CHANJO YA CORONA.Chanjo inasaidiaje kuondoa overpopulation?
Chanjo gani inaweza kuondoa overpopulation?
CHANJO YA CORONA.
Hii inasaidia sana kuondoa overpopulation.
Niulize kivipi.
Kimkakati.Kivipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahDuh hakika wengi mtafungwa POP miguuni na mikononi na mabandeji.
Kimkakati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikitokea hivi bongo vikosi vyote vya jeshi na polis mpaka magereza watafanya kazi walio isomea..
Kuuwa kimkakatiKimkakati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka tuache kuwasha mwenge ndio akili zotatukaa sawa
Maisha magumu Sri Lanka ndiyo lkn ukilinganisha na wapi ?
Umeandika point kubwa !!Huwa nasema kila siku tuombe Mungu nchi iliyotulia kama yetu isitokee hivi kwani ikishatokea mara moja itakuja kuwa ndiyo kawaida, na kuimaliza tena ni shida kubwa. Ndiyo maana wenye akili wanataka viongozi wabadilke kabla wananchi hawajajanjaruka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]POP zitafungwa mpaka ndani ya macho
Na mihogo wakiacha kulima Bungu !![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapo kwenye swimming pool, yaan hawana hata habari.Wanaanzaje kujikisanya.
Nchi haina watu wa intelligence?
Nimeona picha raia wanaoga bafuni kw waziri mkuu, wanalala vitanda vya ikulu hahahahaha
Jamaa zimepinda balaa