Akitoa ufafanuzi huo huku akionekana anajibu swali la raia, Msemaji huyo amesema inapotokea kuna kiongozi yoyote anaenda Kenya kuna taratibu maalumu walizojiwekea kumpokea kiongozi huyo. Suala la Rais wa nchi yoyote kuja linashughulikiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya.
Hivyo, kama kuna jambo lolote umesikia kuhusu kiongozi kuja nchini ni vyema aulizwe aliyetoa taarifa hizo.
Madalali wa vyumba huchukua kodi ya mwezi mmoja, labda alienda kama dalali kupigia chapuo bandari za kenya kwa ajili ya DP World aambulie hata 10% ya udalali maana huku mmemkalia kooni.