Ikulu ya Kenya yakanusha kwenda kwa Rais Samia kama msuluhishi

Ni hatari raisi kwenda nchi nyingine bila protocol...anything can happen..nadhani kuna pahala idara ya usalama wa Taifa imepwaya.
 
Walikuwa wote siku mbili. Endelea kubisha Raila aropokhe usiyotaka kuyasikia
Inawezekana, ilikuwa tu ' private trip ya Rais wetu pamoja na kwamba, kipindi hicho DP World nao walikwenda Kenya kuzungumza na Ruto kuhusu uwekezaji..........sie ngoja tusubiri kusikiliza ukweli ni upi.....
 
Kiuhalisia and according to protocol, Rais wa nchi anapokwenda nchi nyingine,kwa minajili ya shughuli binafsi huwa haitangazwi, lakini ikulu ya nchi husika inakuwa na raarifa na hutoa usalama kwake.so hata kama alikwenda jambo ambalo ni la kweli ila kama ilikuwa kwa shughuli binafsi au usiyohitaji kutangazwa then usitegemee wakakubali.
 
Ikulu yetu ilitakiwa itoe taarifa mara baada ya taarifa ya Odinga.
Ukute hata ikulu haijui kuwa bi mdashi alikuwa hayupo wamejua baada ya raila kusema ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Alimbinjuka kivyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ