Ikulu ya Kenya yakanusha kwenda kwa Rais Samia kama msuluhishi

Nadhani kama alikwenda kweli kimya kimya na wale kukataa wamemsitiri Bibi pia
 
Waziri wa Ulinzi atakua anajua kweli kuwa rais hakuwepo nchini?
Ushawahi ona nyumba ambayo baba alikuwa mkali halafu akafariki na kuna watoto wa kike. Ule uhuru unaopatikana inakuwa kama fungulia mbwa. Kila mtu anaenda kuzurula kona yake.

Ukute huyo waziri wa ulinzi alikuwa Uganda kwa safari zake binafsi.
 
Nimekumbuka miaka ile masister duu/watoto wa geti walivyokua wakiruka ukuta usiku ili kwenda cuub au ghetto kwa masela.

Sijui nimewaza sawa au nimekosea?
Mkuu wewe ni me au ke?
 
Mimi sioni tatizo hapo. As long as kuna tija, pia jua siyo kila safari lazima uambiwe wewe
 
Raila katoa siri. Hata Samia hakutaka ajulikane kuwa alikwenda huko.

Mambo ya huyu mama ni hatari sana. Anauza nchi kimya kimya; kaenda kuishi Dubai wiki mbili hakuna aliyejua alipojificha.

Ni hatari sana.
Hata alienda kuishi US kwa mwezi mmoja wewe unakwama wapi au akikaa hapa kwa mwaka mzima wew unanufaika wapi? Jua hata Rais kuna muda anahitaji privacy.
 
Anadaiwa kuuza nchi huku huko anakuja kufanya nini?
 
Ikulu ya Kenya kupitia msemaji wake imesema Rais wa Tanzania Samia alikwenda nchini humo kula bata na hakualikwa na Serikali ya Kenya.
 
Kheeee!!
 

Attachments

  • IMG_20230323_192240.jpg
    18.3 KB · Views: 1
Mkuu wewe ni mtu mzima- usiamini kila jambo- ni UJINGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…