Ikulu ya Kenya yakanusha kwenda kwa Rais Samia kama msuluhishi

Ni hatari sana , je rais wetu angeumizwa? Dah siku nyingine wawe makini
Washenziiii wakenya eti alienda kujivinjari tena anasema mtu mkubwaaa.
Wasije tu kusema alitorosha vitu kwa kisingizio cha upatanishi. Au wakamsingizia alilazwa. Siri si bure
 

Attachments

  • FB_IMG_1690461550896.jpg
    76.6 KB · Views: 1
Hata alienda kuishi US kwa mwezi mmoja wewe unakwama wapi au akikaa hapa kwa mwaka mzima wew unanufaika wapi? Jua hata Rais kuna muda anahitaji privacy.
Huyo ni mali ya waTanzania, kama anataka 'privacy' aondoke hapo akafanye hiyo 'privacy' nyumbani kwake.

Watu wengine hata hamjui maana ya kuwa mtumishi wa watu?
Ulisikia wapi kiongozi wa nchi anawatoroka wananchi wake anakwenda kujificha kusikojulikana kwa muda wote huo?

Nchi inapogeuzwa kuwa 'Banana Republic' watu kama nyinyi hamkosekani kutetea upumbavu.
 
Washenziiii wakenya eti alienda kujivinjari tena anasema mtu mkubwaaa.
Wasije tu kusema alitorosha vitu kwa kisingizio cha upatanishi. Au wakamsingizia alilazwa. Siri si bure
Inabidi hata vyombo vilivyoruhusu rais wetu kulala nje ya nchi bila kutoa taarifa je kama wangemdhuru? Yaani ni kama alivyokufa Dr Magufuli tulifichwa
 
raila kesha chemsha anatafuta huruma kwa kila aina ya hila au anataka tz iingilie kama mkapa na kofi annan walivyofanya mpaka akawa waziri mkuu
 
Ushawahi ona nyumba ambayo baba alikuwa mkali halafu akafariki na kuna watoto wa kike. Ule uhuru unaopatikana inakuwa kama fungulia mbwa. Kila mtu anaenda kuzurula kona yake.

Ukute huyo waziri wa ulinzi alikuwa Uganda kwa safari zake binafsi.
Ha hahaha mkuu nimecheka sana

Ila aliyetuletea huyu mama ametukomesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…