Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Funny thing hizo hatua hua hazichukuliwi ndani ya wiki muda mdogo ni miaka mitano.
 
hebu ondoeni zuilio la polsisiem
muone kama barabara zitatosha
issue ni kwamba sisi hatutaki makabiliano na polisi wenu kwa sasa hadi tutapojiandaa kimakabiliani
Wewe Na Nani,
Mbona hao watu wenye Mzuka wa kuandaman hatuwaoni huku Uraiani
 
Hatuhitaji kuwaogopa anaogopwa Mungu tu.
Kwa maana hatuhitaji kuwaogopa polisi wala Rais wala kiongozi yoyote hapo wamuogope Mungu tu au unamaanisha vipi?

Mungu katupa akili ya kuchaguwa ukiona hatari uepuke ukiona shari uepuke, Mungu ni wa kuabudiwa na amtupa sisi hekima ya kujiongoza.

Kauli zako zakijumla sana lakini hatari ni kubwa katika uchumi wetu wakiamua kutufungia.

Kukufahamisha tu kwa faida yako leo wakisema hakuna kufanya biashara na Tz usidhani ni kampuni za USA tu ni kila kampuni inayo trade New York stock exchange kwa maana hiyo ni kampuni mpaka za Europe.
 
Ndio mjue maana ya umoja wa kitaifa kutoweka!Akija adui kuna watanzania wazawa kabisa wataungana naye ili mradi vita ni dhidi ya utawala huu unaonuka damu na ukatili wa hali ya juu!
Shame on this government!
 
Kwani ni mara yao ya kwanza kutuwekea vikwazo mkuu? Uhuru wetu ni muhimu zaidi kuliko kitu kigingine chochote! Mkuu acha kufikiri Kitumwa!
 
 

Attachments

  • VID-20201103-WA0000.mp4
    919.5 KB
Wakati wewe unaumiza vidole vyako kubishana hapa, wenzako wanakwenda huko huko Marekani kuomba hela

Sasa wewe endelea kuaminishwa Hiko unachokiamini
Watanzania mmekuwa hata aibu hamna, ati unajisifu ameenda kuomba hela. Umasikini ni mtaji, na mnaona ufahari.
 
Wananchi ndiyo waliopigakura siyo wewe uliyeko nyuma ya keyboard na ndiyo maana hawataki kuingia barabarani.
Inasikitisha kuamini na kuaminisha ujinga mimi nilikuwa kwa chumba cha kura wizi ulitopea orodha ndefu ya majina ya wafu yalipiga kura watu mafisa kata walipiga kura zaidi ya mara mia.
 
Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Mkuu huna unachotengeneza kwa upande wa teknolojia

Sisi kila kitu tunaagiza toka nje ya nchi

Nafahamu hujawi fanya biashara.

Hapa Tanzania nchi imeshikiliwa na wahindi kwenye biashara kubwa zote za Import na Export

Trading kubwa hapa Tanzania tunaagiza kila kitu kuanzia vipuri na vifaa tiba

Kenya tu hapo jirani ametugeuza sisi ndio soko lake la bidhaa za viwanda vyake

Tunabweka wakati mmiliki wa mbwa ni ulaya na China
 
Zile kauli za kebehi kwa Jk kusema Hatutaki Rais Mwanasiasa sijui tunataka Rais Dikteta zimeyeyuka kama theluji kwny Jua kali!
Hakuna kitu kama hicho, haijakutokea na naamin hujapata madhara yyte kwa namna watu walivyopata tabu kule Tarime na Zanzibar na maeneo mengine mengi! Subir ikutokee wewe au kwa ndugu yako ndio utajua uchungu wake na haya maneno unayotamka leo hii naamin hutayasema tena!
 
Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Makosa mawili hayasababishi halali moja (two wrongs don't make one right). Mara nyingi Lizaboni uko objective endelea kuwa hivyo.

Vitendo vilivyofanyika miaka 5 ya utawala wa Meko vimenajisi demokrasia.
Mfumowa Vyama vingi uko kisheria, kwa nini Meko asikaripiwe anavyokiuka mising ya Katiba aliyoapa kulinda?

Hata kama blacks wanakufa US haifanyi na sisi tuwaue akina Azory na Bensaananne au na wale wa MKIRU. US wanaosema kwa vile sisi ni nchi tegemezi kwenye Bajeti zetu za maendeleo hasa Afya, Miundombinu na Ulinzi.
 
Hujafa hujaumbika yawezekana ukaja zaa mtoto shoga au Wazazi wako wakawa mashoga baadae

Usicheke sio kila shoga ni kusudi wengine yaliwakuta wakiwa na familia na hawakuwahi kuhisi watakuwa mashoga

Hujafa hujaumbika.

Wewe zidi kuwaombea tu yasije yakakukuta ndani kwako.
 
Wewe Na Nani,
Mbona hao watu wenye Mzuka wa kuandaman hatuwaoni huku Uraiani
Sasa kama hawapo mnawakamata Lema na Mbowe wa nini si mungewacha tu waandamane wao wawili na wake zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…