blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Kwanamna hii Afrika haitakuja kuendelea milele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Na Nani,hebu ondoeni zuilio la polsisiem
muone kama barabara zitatosha
issue ni kwamba sisi hatutaki makabiliano na polisi wenu kwa sasa hadi tutapojiandaa kimakabiliani
Kwa maana hatuhitaji kuwaogopa polisi wala Rais wala kiongozi yoyote hapo wamuogope Mungu tu au unamaanisha vipi?Hatuhitaji kuwaogopa anaogopwa Mungu tu.
Wananchi ndiyo waliopiga Kura siyo wewe uliyeko nyuma ya keyboard na ndiyo maana hawataki kuingia barabarani.hebu ondoeni zuilio la Polisi
muone kama barabara zitatosha
issue ni kwamba sisi hatutaki makabiliano na Polisi wenu kwa sasa hadi tutapojiandaa kimakabiliani
Kwani ni mara yao ya kwanza kutuwekea vikwazo mkuu? Uhuru wetu ni muhimu zaidi kuliko kitu kigingine chochote! Mkuu acha kufikiri Kitumwa!Kwa maana hatuhitaji kuwaogopa polisi wala Rais wala kiongozi yoyote hapo wamuogope Mungu tu au unamaanisha vipi? Mungu katupa akili ya kuchaguwa ukiona hatari uepuke ukiona shari uepuke, Mungu ni wa kuabudiwa na amtupa sisi hekima ya kujiongoza. Kauli zako zakijumla sana lakini hatari ni kubwa katika uchumi wetu wakiamua kutufungia. Kukufahamisha tu kwa faida yako leo wakisema hakuna kufanya biashara na Tz usidhani ni kampuni za USA tu ni kila kampuni inayo trade New York stock exchange kwa maana hiyo ni kampuni mpaka za Europe.
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by security forces both in mainland Tanzania and on Zanzibar. These irregularities call into question Tanzania’s commitment to democratic values. While the Tanzania Election Commission declared President Magufuli on October 30 as the winner of the presidential contest, we remain deeply troubled by the impact of these irregularities and violence on the results.
We continue to urge restraint by all parties and peaceful resolution of any disputes. We urge Tanzanian authorities to investigate allegations of irregularities and violence by security forces and ensure that all political actors have access to legal institutions to peacefully address electoral disputes.
We call on the Government of Tanzania to uphold the human rights and fundamental freedoms of all, including their freedom of expression and right of peaceful assembly, and to promote internet freedom and to ensure that all those arrested during demonstrations are afforded all applicable procedural safeguards. The United States, in coordination with our partners, will consider actions including visa restrictions, as appropriate, to hold accountable those found to be responsible for human rights abuses and interference in the election process.
The Tanzanian people, like people everywhere, deserve transparent and accountable governance, equal treatment under the law, and the ability to exercise their rights without fear of retribution. Achieving our shared goals and furthering our bilateral relationship will require ensuring that all stakeholders are represented and can fully exercise their roles in Tanzania’s democracy.
View attachment 1618469![]()
Widespread Irregularities Observed during the Tanzanian Elections - United States Department of State
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by...www.state.gov
Watanzania mmekuwa hata aibu hamna, ati unajisifu ameenda kuomba hela. Umasikini ni mtaji, na mnaona ufahari.Wakati wewe unaumiza vidole vyako kubishana hapa, wenzako wanakwenda huko huko Marekani kuomba hela
Sasa wewe endelea kuaminishwa Hiko unachokiamini
Inasikitisha kuamini na kuaminisha ujinga mimi nilikuwa kwa chumba cha kura wizi ulitopea orodha ndefu ya majina ya wafu yalipiga kura watu mafisa kata walipiga kura zaidi ya mara mia.Wananchi ndiyo waliopigakura siyo wewe uliyeko nyuma ya keyboard na ndiyo maana hawataki kuingia barabarani.
Mkuu huna unachotengeneza kwa upande wa teknolojiaHao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Hakuna kitu kama hicho, haijakutokea na naamin hujapata madhara yyte kwa namna watu walivyopata tabu kule Tarime na Zanzibar na maeneo mengine mengi! Subir ikutokee wewe au kwa ndugu yako ndio utajua uchungu wake na haya maneno unayotamka leo hii naamin hutayasema tena!Zile kauli za kebehi kwa Jk kusema Hatutaki Rais Mwanasiasa sijui tunataka Rais Dikteta zimeyeyuka kama theluji kwny Jua kali!
Makosa mawili hayasababishi halali moja (two wrongs don't make one right). Mara nyingi Lizaboni uko objective endelea kuwa hivyo.Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Hujafa hujaumbika yawezekana ukaja zaa mtoto shoga au Wazazi wako wakawa mashoga baadaeKwa Vigezo vya Mabeberu wa Kimarekani, Sie Tanzania tuna ukiukwaji Mkubwa wa Demokrasia na haki za Binadamu kuliko Mashoga zao wa Saudia
Sie na Magufuli wetu wao na kina Pompeo wao!
2025 Inshallah wataambulia Asilimia 1 ya kura zote wakashtaki tena.
Sasa kama hawapo mnawakamata Lema na Mbowe wa nini si mungewacha tu waandamane wao wawili na wake zaoWewe Na Nani,
Mbona hao watu wenye Mzuka wa kuandaman hatuwaoni huku Uraiani
Sababu zipo fatilia vizuri KijanaSasa kama hawapo mnawakamata Lema na Mbowe wa nini si mungewacha tu waandamane wao wawili na wake zao
Unaongelea weusi wa USA, kwani wanaouliwa Tanzania na bluu?!Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?