Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeoza akili , umelaaniwa na shetani. Unabariki ufirauni uliotokea kwenye uchafuzi wa juziEti credible reports of violence during the election hawa watu wanasoma nakala za wakenya na kudhani ni credible sources.
Ebu watueleze na sisi hizo fujo zilifanywa wapi Tanzania bara siku ya uchaguzi.
Vyovyote itavyokua hatumsujudii mbwa yoyote zaidi ya Rais wetu Magufuli na nchi yetu Tanzania hao wengine wana hamu tu na tutawatoa hiyo hamuHawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.
Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
Maneno yote hayo kwa sababu nimeuliza tu watueleze source ya hiyo so called credible information?Wewe umeoza akili , umelaaniwa na shetani. Unabariki ufirauni uliotokea kwenye uchafuzi wa juzi
Africa imejaa unafiki, acha wazungu waseme
Hahaha kwamba watafanya nn sasa? Mbna uchaguzi zote lazima upinzani waongee na wazungu wao kila mara na hakuna cha maaana, tz is a soverign state so kuna boundaries, kuhusu swala la uchaguzi hio imeshapita hio labda issue za mauaji of which alieua ndo anakamatwa but police hua case zao npo different, inshort there is nothing they can doWako serious busara itumike
Kwani umesikiaa humu in darani na wewe in Mwalimu? BAVICHA MNAJUA KUNDIKA ILA TUMEWAKALISHA hahahahaha Sasa mnalamba Makalio ya Wazungu ndio Mnajiitaa mnaakili kumbe Wa hovyoii kabisa.Ndio maana mnaitwa mazwazwa! Mmekaririshwa ujinga na mnaishi kutuletea upuuzi humu, kila uzi mnavamia na comments za kijinga kabisa. Mmefanya jukwaa limekuwa la hovyo.
Wengi hamjui kuandika! Hata matumizi ya herufi kubwa na ndogo ni shida!
Nenda kwanza kajifunze matumizi ya R na L, sarufi na matumizi ya nukta na koma.
Mboga Saba nyingine hiii Hahahaa, mnatamba kwenye Keyboards Kwenye Battlefield Hamwonekani. Unajua Maana yake in Simple UNAFKI mnaambiwa mkaandamane mmetulia tu kwa sababu hammanishi mnachokihubiri so Tulieni.Hilo jina ni aheri ungejiandika DR JUHA.
Ungewaacha wenye uelewa wachangie. Wewe yawezekana ni darasa 3 mbumbumbu. Hata kuandika maneno machache tu ya Kiswahili hoi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa la Mungu? Acheni unafiki!Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
America should first review their own democracy in which Russia has always had a big role, so review the Russian involvements in your so called thieves gateway democracy Tanzania is for Tanzanians we know your interests are just to be able to exploit our resources for free you have done it everywhere, Iraq, Libya Syria Afghanstan and you killed our great African brother Gadafi just for their petrol and now those stupid Libyans you used in the pretext of democracy are eating dust while you have their petrol, Leave Tanzania alone and we have shown you thieves that we are awake now, Stop telling us about your democracy we are defending our SWEET RESOURCES not thieves gateway democracy simple You defend your gangster rules and we defend our most loved leaders who defend our resourcesAfrica imejaa unafiki, acha wazungu waseme
Kwa sababu mtu wao amebwagwa vibaya sana, tena kihalali kabisa.Mikwara imekua mingi sanaaa
Wewe hauko sawa, Iran juzi hapa walikuwa wanalia na kuomba sanctions ziondolewe, na wewe unaibuka na utopolo na bakuli lako mkononi ukiomba msaada kwa hao hao. Yule generali wa Iran aliuliwa na watu gani vile! US ni taifa jingine mkuu likiamua leo hao mliwapandikiza kwa kura feki hawezi kukaa hapo na watatufinya hadi tunyooke hata wiki haishiWameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Sasa mwambie balozi wetu aliyeko usa na waziri wetu wa mambo nje atoe matamkoHao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Sababu zipi?!au ni hizi hizi comed za kuzunguka na mwalifu kwenye mediaSababu zipo fatilia vizuri Kijana
Sio Hizo unazo fikilia