Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Eti credible reports of violence during the election hawa watu wanasoma sana nakala za wakenya zinazochapishwa kwenye vijarida uchwara wakati source zao na wenyewe ni mitandao na kudhani hizo nakala ni credible sources.

Ebu watueleze na sisi hizo fujo zilifanywa wapi Tanzania bara siku ya uchaguzi.
 
Eti credible reports of violence during the election hawa watu wanasoma nakala za wakenya na kudhani ni credible sources.

Ebu watueleze na sisi hizo fujo zilifanywa wapi Tanzania bara siku ya uchaguzi.
Wewe umeoza akili , umelaaniwa na shetani. Unabariki ufirauni uliotokea kwenye uchafuzi wa juzi
 
Hawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.

Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
Vyovyote itavyokua hatumsujudii mbwa yoyote zaidi ya Rais wetu Magufuli na nchi yetu Tanzania hao wengine wana hamu tu na tutawatoa hiyo hamu
 
Wewe umeoza akili , umelaaniwa na shetani. Unabariki ufirauni uliotokea kwenye uchafuzi wa juzi
Maneno yote hayo kwa sababu nimeuliza tu watueleze source ya hiyo so called credible information?

Unaposema credible source ina maana report ya waangalizi wa uchaguzi inasema ivyo, kuna ushahidi wa majeraha kulikuwa na violence, umethibitisha kura za wizi beyond doubt, etc.

Wameshaambiwa karatasi zote za kura ni traceable kama kweli zile zilizokamatwa zimetoka NEC wapeleke zikahakikiwe na number. Mjomba NEC wamejipanga ata kwa forensic investigation.

Kuokota habari za mitandaoni doesn’t constitute credible source, huko shule ulisomea ujinga.

Pathetic
 
Stern actions need be taken the sooner the better.There are so many unwarranted charges leveled against the opposition leaders on directives from the Government. Tanzanians deserve better treatment from their employees!
 
Hawa US kuna kitu wanakipanga hawa, yaani wameona biashara zaa matajir wa kwao zmekua ngum kimaslah kutoboa Bongo sasa wanataka harib nchi, hawa ndo huwa wana plant had ugaid ili nchi isambaratike. Nigeria iwe mfano wetu
 
Wako serious busara itumike
Hahaha kwamba watafanya nn sasa? Mbna uchaguzi zote lazima upinzani waongee na wazungu wao kila mara na hakuna cha maaana, tz is a soverign state so kuna boundaries, kuhusu swala la uchaguzi hio imeshapita hio labda issue za mauaji of which alieua ndo anakamatwa but police hua case zao npo different, inshort there is nothing they can do
 
Ndio maana mnaitwa mazwazwa! Mmekaririshwa ujinga na mnaishi kutuletea upuuzi humu, kila uzi mnavamia na comments za kijinga kabisa. Mmefanya jukwaa limekuwa la hovyo.

Wengi hamjui kuandika! Hata matumizi ya herufi kubwa na ndogo ni shida!
Nenda kwanza kajifunze matumizi ya R na L, sarufi na matumizi ya nukta na koma.
Kwani umesikiaa humu in darani na wewe in Mwalimu? BAVICHA MNAJUA KUNDIKA ILA TUMEWAKALISHA hahahahaha Sasa mnalamba Makalio ya Wazungu ndio Mnajiitaa mnaakili kumbe Wa hovyoii kabisa.
 
Hilo jina ni aheri ungejiandika DR JUHA.

Ungewaacha wenye uelewa wachangie. Wewe yawezekana ni darasa 3 mbumbumbu. Hata kuandika maneno machache tu ya Kiswahili hoi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mboga Saba nyingine hiii Hahahaa, mnatamba kwenye Keyboards Kwenye Battlefield Hamwonekani. Unajua Maana yake in Simple UNAFKI mnaambiwa mkaandamane mmetulia tu kwa sababu hammanishi mnachokihubiri so Tulieni.
 
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Taifa la Mungu? Acheni unafiki!
 
Africa imejaa unafiki, acha wazungu waseme
America should first review their own democracy in which Russia has always had a big role, so review the Russian involvements in your so called thieves gateway democracy Tanzania is for Tanzanians we know your interests are just to be able to exploit our resources for free you have done it everywhere, Iraq, Libya Syria Afghanstan and you killed our great African brother Gadafi just for their petrol and now those stupid Libyans you used in the pretext of democracy are eating dust while you have their petrol, Leave Tanzania alone and we have shown you thieves that we are awake now, Stop telling us about your democracy we are defending our SWEET RESOURCES not thieves gateway democracy simple You defend your gangster rules and we defend our most loved leaders who defend our resources
 
Jidanganye, endelea tu kusifia kama ilivyo ada yenu praise team.Subiri nyakati zinakuja, utakula panzi kwa kutowezea na supu ya mizizi
 
Tumeshasema Wapinzani Mwaka huu wamejikomesha wenyewe. Walianzia 2015 kuungana kama UKAWA. pale ndipo walipojizikia kaburi lao wenyewe. Na Mwaka huu ndo maziko rasmi. Warudi wakajipange.
 
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Wewe hauko sawa, Iran juzi hapa walikuwa wanalia na kuomba sanctions ziondolewe, na wewe unaibuka na utopolo na bakuli lako mkononi ukiomba msaada kwa hao hao. Yule generali wa Iran aliuliwa na watu gani vile! US ni taifa jingine mkuu likiamua leo hao mliwapandikiza kwa kura feki hawezi kukaa hapo na watatufinya hadi tunyooke hata wiki haishi
 
Back
Top Bottom