GREATTHINKERDAIMA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 232
- 46
Katiba ni madai ya Watanzania,kukubali au kukataa hukuondoi madai ya Watanzania is a matter of time,msijifariji kwa ujinga..Hii ni sifa mojawapo ya Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Kuwa huru na mwenye kuthubutu kwa mambo ambayo wengi wanadhni hayana haja ya kuthubutu. Kama si yeye hata katiba tusingeijadili, kwani alishindwa kukataa? Hongera sana Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Haya tujadili sasa.
Hati ya Muungano imetolewa, na imeshapelekwa Bungeni dodoma. Tundu Lissu alisema HATI hiyo haipo hivyo Muungano huu ni feki, na taifa hili ni feki.
Kama kweli hati hiyo aliyoionyesha leo Katibu mkuu Kiongozi ni yenyewe.....Kuna watu wataabika sana kwa hoja za jazba bila kuzifanyia uchunguzi.
Natamani iwe uongo ili huu umaarufu tuliompa leo Tundu Lissu uweze kudumu, kinyume na hapo itakuwa aibu sana.
Naomba nikuulize maswali yafuatayo:-Hati ya Muungano imetolewa, na imeshapelekwa Bungeni dodoma. Tundu Lissu alisema HATI hiyo haipo hivyo Muungano huu ni feki, na taifa hili ni feki.
Kama kweli hati hiyo aliyoionyesha leo Katibu mkuu Kiongozi ni yenyewe.....Kuna watu wataabika sana kwa hoja za jazba bila kuzifanyia uchunguzi.
Natamani iwe uongo ili huu umaarufu tuliompa leo Tundu Lissu uweze kudumu, kinyume na hapo itakuwa aibu sana.
Huoni bila Lissu isingeonekana,Lissu ni kichwa who knows may be hata hiyo yenyewe fake
tarehe 14 April 2013 ilikuwa jumapili ......sio
siku ya kazi, ??????
Wameleta Hati ya vyakunyongwa na sio halali..Nipo live hapa..
Abwabwaja tuu huyu...Lissu kawashika pabaya