Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

kama hati hiyo ilikuwepo tangiepo kwa nini mpaka watu wapige kelele namna hiyo ndo waitoe. nafikri wameichakachua. hiiiiiii bongo hii basi tu.
 
Hivi wa tz lazima tunganganiye zanzibar kwanini hawa watu wezi wana ngangania sana zanzibar hivyi watu wanao uwa tembo lazima tuwaamini jingine linalo shangaza lazima watoto wote wa viongozi nao wawe viongozi!? Vijana wengine wa tz ni mazuzu au ?
Muda wa kuamka umefika mara kijana wa makamba mara wa kikwete mara wa mwinyi mara karume mara malma mara kawawa nk inamaana wao tu ndio wateule kutoka kwa mungu au tusiwe waseeeng tuamke tuache kuwasikiliza watu washenzi
 
dah! labda mpaka Pasco aje atuthibitishie kama ni bonafide genuine hiyo hati...
 
Last edited by a moderator:
my be kama nimeelewa aliye upload hiyo picha hapa jamii forum amepokea kutoka kwa mtu leo saa 1754 na yeye akaupload saa 17:55 kama nimekosea nirekebishe

Kwa uelewa wangu wa kuhusu fax ni kuwa unaweza ukaset sender name,ate and time kwa OUTGOING fax tu.Hivyo hiyo fax inaonesha ilitoka huko kwa chief secretary tarehe hiyo ila mwaka jana.Huenda ilikwama kwenye foleni.lol
 
Wakuu naomba maelezo hapo kweny duara au ndo changa la macho
 

Attachments

  • 1397492924310.jpg
    1397492924310.jpg
    70 KB · Views: 140
Hoja ya hati ya Muungano ni hoja muflisi kwa kweli.. sijui kwanini watu wasomi wameing'ang'ania hii! Hivi uhalali wa Muungano unategemea uwepo wa haki ya Muungano? Je kama cheti cha ndoa au pete ya ndoa imepotea ina maana ndoa haina uhalali? Hivi uhalali wa mkataba wowote unategemea uwepo wa nyaraka za mkataba huo hasa kama pande zote zinakubaliana kuwa mkataba ulisainiwa na ushahidi wa watu kusaini na yaliyomo mwenye hiyo hati yanajulikana?

Wewe ccm nini?
 
Juu kabisa kama si macho yangu nasoma yafuatayo;

FAX NO. 2117272

Date April 14 2013

Time 09:55am



Je hii ndiyo maandiko ya 1964?


Na mimi hapo ndo pamenipoteza kabisaaaaa, ngoja tuone mambo ikikabidhiwa bungeni
 
Kwangu mie hii picha ni HATI tosha ...unless otherwise mtuambie hapa walikuwa wanasaini kitu gani na si hati ya muungano! Hao waliokuwa wanashuhudia wamefariki wote?... kwanini hawaongei kwanini wanaachia nchi inataka kusabaratishwa ?...

Mkuu,Unauhakika gani kama hii picha watu wawili hao walikuwa wanasaini hati ya muungano
 
Hati?nisaidieni hapa wadau,hati ya muungano na sheria ya muungano kipi kinatangulia kingine na kipi kina nguvu kuliko kingine?
Je kupatikana kw hati hiyo ndio kuhalalisha muungano kwamba ni halali?

kwanza hiyo hati ilikuwa imefichwa na nani? je ni hati halali kweli? na kwa nini ipelekwe kwa waandishi wa habari badala ya kupelekwa bungeni?
 
Back
Top Bottom