Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forgery!!!
my be kama nimeelewa aliye upload hiyo picha hapa jamii forum amepokea kutoka kwa mtu leo saa 1754 na yeye akaupload saa 17:55 kama nimekosea nirekebishe
un wamesema hawana at ya muungano watz wameipata wap?
Hoja ya hati ya Muungano ni hoja muflisi kwa kweli.. sijui kwanini watu wasomi wameing'ang'ania hii! Hivi uhalali wa Muungano unategemea uwepo wa haki ya Muungano? Je kama cheti cha ndoa au pete ya ndoa imepotea ina maana ndoa haina uhalali? Hivi uhalali wa mkataba wowote unategemea uwepo wa nyaraka za mkataba huo hasa kama pande zote zinakubaliana kuwa mkataba ulisainiwa na ushahidi wa watu kusaini na yaliyomo mwenye hiyo hati yanajulikana?
Wameingia wenyewe kwenye 18Wamechakachua mkuu...
Wamechakachua mkuu...
Juu kabisa kama si macho yangu nasoma yafuatayo;
FAX NO. 2117272
Date April 14 2013
Time 09:55am
Je hii ndiyo maandiko ya 1964?
Juu kabisa kama si macho yangu nasoma yafuatayo;
FAX NO. 2117272
Date April 14 2013
Time 09:55am
Je hii ndiyo maandiko ya 1964?
wameingia kwenye 18Wamechakachua mkuu...
Kwangu mie hii picha ni HATI tosha ...unless otherwise mtuambie hapa walikuwa wanasaini kitu gani na si hati ya muungano! Hao waliokuwa wanashuhudia wamefariki wote?... kwanini hawaongei kwanini wanaachia nchi inataka kusabaratishwa ?...
Ni shidaa
Hati feki toka Lumumba. Lissu kiboko yao haya magamba
Hati?nisaidieni hapa wadau,hati ya muungano na sheria ya muungano kipi kinatangulia kingine na kipi kina nguvu kuliko kingine?
Je kupatikana kw hati hiyo ndio kuhalalisha muungano kwamba ni halali?