baada ya yote je iyo hati inaitaja tanzania au tanganyika???????????????
Tanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baada ya yote je iyo hati inaitaja tanzania au tanganyika???????????????
Siamini kama saini ile ni ya Karume, ile saini ni ya kisomi na ya msomi wa hali ya juu kuliko Abeid Amani Karume.
Tanganyika
kama mna wasiwasi si mkachuke vingerprinti?
Nendeni mkafukue walio tangulia mbeleza haki mchukue finger print ,ili uzalilishaji uendeleee na laaana zitafune nchi
Propaganda hii ya kijinga! Hapa ni kwa ma-GT!
Ndio nyie wenye hoja kwamba hamuijui Tanganyika kwa sababu asilimia 80 yenu mmezaliwa baada ya muungano. Scotland iliungana na Uingereza miaka 200 iliyopita, na wanajitoa kwenye unitary system ya UK mwakani, je ni asilimia ngapi ya wa-scottish wamezaliwa ndani ya muungano?Wabongo balaa tu! Wanahoji Vitu vimefanyika hata wao hawajazaliwa! Mtu mgonvi utamjua hutafuta sababu yoyote tu hata haina maana! Zungurukeni baharini hamkosi kisiwa au bara la Antactic halina mtu mkaanzoshe taifa lenu peke yenu.
Kwani serikali mbili hazigawi vyeo?!
Unaweza kunambia kazi ya Prof. Mwandosya?!
Pili, ni kwa nini unadhani serikali tatu zitakuwa na vyeo vyingi kuliko tatu na vichache kuliko moja?!
Hivi tatizo letu ni muundo wa muungano au kukosa uzalendo na kupiga vita rushwa na matumizi mabaya ya madaraka?
Pengine ndiyo Shivji huyu Mwanakijiji?
Ndio nyie wenye hoja kwamba hamuijui Tanganyika kwa sababu asilimia 80 yenu mmezaliwa baada ya muungano. Scotland iliungana na Uingereza miaka 200 iliyopita, na wanajitoa kwenye unitary system ya UK mwakani, je ni asilimia ngapi ya wa-scottish wamezaliwa ndani ya muungano?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums