Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Magufuli atampa kura Tundu Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni ushahidi wa mazingira kuwa huyo Jiwe ndiyo mchezo wake wa kuwanunua wapinzani wanaofika bei!Dahh mtongozo wa waziwazi kabisaa! inaonesha na yale yasemwayo, huenda yakawa ni kweli
Ndio maana nimeukataa u Dr. Na uprof.kwani ninayoyaona no aibu tupu.Angeanza kumkumbuka lijuakali,karanga kwanza,hizo ni ahadi sawa na kumtongoza binti,karanga wa monduli aliambiwa aunge juhudi ataliNdpiwa madeni yake akaunga kwa mkopo ikala kwake,mbatia alihadiwa kupewa majimbo ajitoe ukawa hata udiwani apati safari hii yeye na le profesele watabakia kuwa wapenzi watazamaji
Uchaguzi siyo ramli ni kuuza sera ukaeleweka ukapigiwa kura.Yeye si kafanya mambo makubwa hofu ya nini.anamhofia mtu mdogo.Mzee baba si arelax.Tundu hamshindi Magufuli popote, asubiri uteuzi kwa nafasi atakayoiweza sio urais🤣🤣🤣
Maendeleo hayana vyama
...Shibuda.Hizo kazi ndogondogo awape akina Lipumba na Mrema na Mbatia.
Bila kumsahau mzee wa Kiraracha!Jiwe huwa anapanic ile mbaya, awape kazi wanaccm maana ndio huwa wanamtemekea. Na kina Mbatia, Lipumba ndio wenye shida na kazi za jiwe.
Acha malumbano kamanda!
Uoga ama?wako...Mzee wa tutashitakiwa MIGA ni bure kabisa kila hotuba yake lazima aombe wazungu wamsaidie!!!
Sera zimemwagwa nyingi sana watu wanakula bata saa na oktoba 28 kama kawa kama dawa
Wewe umeongea vema mkuu,sivutiwi na Magufuli ila Sina imani na Lissu kwamba nafasi ya uraisi ni kubwa kwake,eneo pekee linalomfit ni kuendelea kuwa mwanaharakati/AG/DPP/Waziri wa Sheria.Tundu Lisu anafaa kuwa AG au DPP lakini siyo Rais wa Tanzania!