Ila Bashe! Nchi ina upungufu wa sukari tani 30,000; yeye anaagiza tani 400,000!

Mim nikusahihishe,nilisikia wenye viwanda walikua wanadengua dengua,ndio mana labda dili ilivofika kwa watu wa steshenar wakachangamka,shida ipo wap ikiwa wote wana tin numbar
- Kwanini watu wa stationery wasio na ujuzi wowote kuhusu masuala ya uagizaji na usambazaji wa sukari wapewe hiyo kazi? Uko wapi usalama wa mtumiaji wa sukari?

- Inawezekana vipi mtu wa stationery mwenye mtaji wa milioni moja akapewa kazi ya kuagiza sukari ya bilioni 6.6?
 
Mzigo ukifika bandarini au airport kuna vyombo au taasisi zinahusika na ubora wa chakula au dawa zinazoingia nchini.. TBS , TMDA , Mkemia mkuu , na wengineo hapo kabla hujakutana na TRA unaanza na hao wanaohakikisha ubora... Tupo salama Mkuu usiwe na hofu kabisa kwenye ubora .. serikali hii ya ccm haiwezi ikaruhusu sumu ikaingia mtaaani ..
 
Kanaonekana na vingereza vingi ,kumbe kajizi ka kutupa , kanatakiwa kuminywa kende mpaka kazitapike ,sio kenyewe tu hata mishirika mifisadi mingine
 
Sasa ndo unatafuta mtu mwenye mtaji wa mil moja, ccm babu ,mama ,baba, kaka,dada mpaka vitukuu wote wezi , ccm ni ukoo wa panya
 
Kwani ametumia hela yako au ya Serikali kuagiza sukari? Pili kipi bora sukari iwe nyingi mpaka iteremke bei kutoka Tsh 10,000 hadi Tsh 3,000?

Hata huyo Lowassa (RIP) kwani alikosa nini kwenye kashfa ya Richmond?
 
Bora Sukari nyingi imekuja nchini. Hizo zingine ni porojo tu
 
Kwa nini serikali inakataza wafanyabiashara wadogo walioko mipakani kuingiza sukari nchini??
 
Naona tumekomalia ya Bashe tu! Kama tungeyasema kwa uzito haya yaliyoripotiwa na CAG karibu kila sekta,mawaziri wengi wangekumbwa na kashifa kama hizi.
Nadhani kuna mahali Bashe amepishana na Mganga wake wa kienyeji! Kama anaye aende amalizane naye hayo yatapita na watanzania tutazoea!
 
Mbona ujuaji ni mwingi waTanzania, sukari ikiadimika mnalalamika ikiwa excess mnalalamika, sasa hamuoni sukari ikiwa nyingi ndio bei inashuka?

Duh hii nchi ngumu sana
Hiyo ni kawaida kwa binadamu, ukikaa sana utalalamika na ukisimama kwa muda mrefu utalalamika, kila kitu kinataka kiasi.
 
Aongeze zaidi ili hili jinamizi la Gap Sugar lisisikike milele na milele.
 
Sio huyo tu, hata na mama yenu ni jizi
 
Mbona ujuaji ni mwingi waTanzania, sukari ikiadimika mnalalamika ikiwa excess mnalalamika, sasa hamuoni sukari ikiwa nyingi ndio bei inashuka?

Duh hii nchi ngumu sana

Bei itashukaje wakati sukari inayozalishwa na viwanda vyetu inalipiwa Kodi wakati sukari ya nje wameisamehe Kodi na bado wizara na bodi ndio wanaotoa bei elekezi bila kujali sukali ilitoka wapi
 
Kumbe CCM ni ileile
 
Wewe nae kilaalichoongea magufuli ulikiamini?
Ina maana we kipindi cha nyuma ulikuwa huoni sukari ukiweka kwenye chai inakuwa kama ina vichupa vinangaa utadhani flask ya thermos..? Au sukari inakuwa kama mchanga uliolowa huku nyuki wameizunguka? Ile ni rejected kutoka nje..watu wanaagiza wanatuuzia. Sema wapumbavu siku zote huwa mnashtuka ukishaambiwa una cancer. Kisha unasema nimeipataje
 
Swali la msingi ,na naomba jibu kwa Mwenyekujua, Bashe kama waziri inawezekana kukamilisha hili dili peke yake ndani ya serikali ? Kama sivyo nani wanaweza kuwa nyuma yake ? Kama ndivyo hii jeuri bashe kaitoa wapi?

Nauliza isije kuwa bashe ni kama bahasha tu kumbe kumbe wenye barua wapo
 
Kuna watu humo may be watakuwa wametakatisha fedha,kupitia hizo kampuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…