kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Huyo jamaa hapo chini anaitwa Robin Ernest kimambo.ni class mate wangu pale udbs miaka kadhaa iliyopita.
Leo wakati mimi bado nawaza ni lini utumishi watatoa majina ya written interview nikagombanie salary ya TGS D ambayo ni sawa na shillings 710,000/=, huyu class mate wangu kateuliwa na vodacom Tanzania kuwa acting CFO na naamini soon anakua promoted kuwa CFO kamili.kwa haraka haraka mshahara wa CFO wa vodacom ni around 25M.
Yani hapa niko natafakari haya maisha naona kama sisi wengine hayatutendei haki pamoja na kwamba tunapambana sana tu pasipo kuchoka.
Ukiwa na moyo mdogo unaweza kujikuta unajinyonga kwa msongo wa mawazo.
Sio kwa haya magape aisee