Baunsampole
Senior Member
- Oct 27, 2016
- 110
- 203
Huyu jamaa nilisoma naye St.Anthony pia usihuzunike kimbizana na malengo yako kumbuka kuna watu ni wagonjwa wako kitandani zaidi ya miaka kumi hawawezi kutem ea Kuna wengine walizaliwa wazima wakapata ajali sa ivi ni walemavu wa viungo utajiri mkubwa unaopaswa kujivunia ni afya njema na uhusiano wenye afya na familia yako usijipe stress za bureHuyo jamaa hapo chini anaitwa Robin Ernest kimambo.ni class mate wangu pale udbs miaka kadhaa iliyopita.
Leo wakati mimi bado nawaza ni lini utumishi watatoa majina ya written interview nikagombanie salary ya TGS D ambayo ni sawa na shillings 710,000/=, huyu class mate wangu kateuliwa na vodacom Tanzania kuwa acting CFO na naamini soon anakua promoted kuwa CFO kamili.kwa haraka haraka mshahara wa CFO wa vodacom ni around 25M.
Yani hapa niko natafakari haya maisha naona kama sisi wengine hayatutendei haki pamoja na kwamba tunapambana sana tu pasipo kuchoka.
Ukiwa na moyo mdogo unaweza kujikuta unajinyonga kwa msongo wa mawazo.
Sio kwa haya magape aisee
View attachment 2295845
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app