mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Ni kweli kwa sababu connection yao ni ndefu kulinganisha na mtoto wa mbagala aliyesomea shule za kata marafiki zake watakuwa ni watu waliomzunguka tu kuanzia mbagala hadi chang'ombe.nilivyoona jina "kimambo" nikajua moja kwa moja huyo ni mmatumbi mwenzetu, nilivyocheck picha yake nikagundua kumbe jina limenidanganya.
iko hivi, watu ambao ni mixed-race, rahisi sana kutoboa kimaisha kwenye vinchi hivi maskini vya dunia ya tatu. chunguza vizuri.
So huwezi kulinganisha na mtu amesomea shule na watoto wa mabalozu wa nchi mbalimbali plus watoto wa mafisadi anakuwa na uwanja mpana.