Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimambo dogo smart. Na ana malengo sana huyo.. ni mzuri sana wa mawazo na kuyafanyia kazi.
Wakati classmate wake anaandika thread kuponda hapa. Huyu jamaa kazi yake nikumake things happen.
Kaoa mwaka jana tu hapo pisi moja matata.
Kweli kabisa na wakati huo, kuna tunaotamani hata 50k tu itusogeze kidogo mambo hayaendi, so muhimu ni kuridhika na kuongeza jitihada za kujikwamua.Wakati wewe unaona 700000 ndogo, kuna mtu anahangaika angalau apate ajira ya 300000 ili aendeshe familia yake