Ila haya maisha wakati mwingine yanaweza kukufanya utamani kujiua

Ni kweli kwa sababu connection yao ni ndefu kulinganisha na mtoto wa mbagala aliyesomea shule za kata marafiki zake watakuwa ni watu waliomzunguka tu kuanzia mbagala hadi chang'ombe.
So huwezi kulinganisha na mtu amesomea shule na watoto wa mabalozu wa nchi mbalimbali plus watoto wa mafisadi anakuwa na uwanja mpana.
 

Mimi nafikiri wana uwezo pia IQ kubwa hao mixed races
Kina Obama na Bob Marley the like
 
Rangi huwafanya waaminike.😂😂😂😂
 
Mimi nafikiri wana uwezo pia IQ kubwa hao mixed races
Kina Obama na Bob Marley the like
Mkuu sidhani kumix race kunachangia IQ bali matunzo na malezi ya kutokea utotoni
Wataalamu wanasema zile siku 1000 za kwanza za maisha...ni muhimu sana kwa ukuaji wa ubongo..... So ikitokea wazazi wako vizuri kifedha kitu amabocho nikwawaida kwa hawa mixed race, utakuwa na Ubongo wenye afya wakuweza kuelewa na kuatafakari vizuri ukubwani
 
Ujiue kwa sababu fulani kapata
We pambana kivyako kwani huwezi kujua ukiwa mzee ndio unakuwa millionaire kama wengi tulivyo sasa
 

Environmental in origin au sio
Hapo nimekupata vizuri
Ni makuzi mazuri pia na waliotuzunguka pia
Kama society wengi ni wizi na ulevi basi tena
 
Magepu yapo mengi duniani. Huwezi kuyamaliza kwa kujiua au kukata tamaa.
 
Hayo ndio maisha mzee, wakati mwiingine Inaumiza(binadamu tumeumbwa hivyo) ila mshukuru mungu tu mzee, jaribu kuwaangalia wa chini yako, ndio utaona neema yake
 
Mshukuruni Mungu kwa kila jambo
 
Wivu wa kijinga huo! Yaani unataka wote tufanane?
 
Siku zote, ukiishi maisha ya kujilinganisha utakufa.. hasa kama kujilinganisha kwako unakufanya ili kujiumiza..!! Ukijilinganisha kwa kutaka kujiendeleza at least unaweza win
 
Gap alilonipiga ni kubwa mno(simuonei wivu)ila najishangaa mimi mbona kaniacha mbali kiasi hiki?yani mimi bado nawaza TGS D mwenzangu hapo anawaza labda kuwa CEO wa kampuni kubwa ulimwenguni in next few years
Bado haujanijibu mkuu, hapo gap umelion kwenye cheo au mpunga anao anza kuingiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…