Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jul 20, 2022 #81 Ukishajua kwamba kila mwanadamu ana hatma yake, wala hutasumbuka kutamani hatma za wengine... Riziki mafungu saba...
Ukishajua kwamba kila mwanadamu ana hatma yake, wala hutasumbuka kutamani hatma za wengine... Riziki mafungu saba...
Kiokotee JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 1,675 Reaction score 2,211 Jul 20, 2022 #82 Connection hiyo,Mpigie simu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jul 20, 2022 #83 Chance ndoto said: Kimambo dogo smart. Na ana malengo sana huyo.. ni mzuri sana wa mawazo na kuyafanyia kazi. Wakati classmate wake anaandika thread kuponda hapa. Huyu jamaa kazi yake nikumake things happen. Kaoa mwaka jana tu hapo pisi moja matata. Click to expand... Huyu dogo ashawahi kuishi Tanga? Kuna Kimambo chotara kama huyu alikuwa na kaka yake pia, waliwahi kuishi Chumbageni kwa aunty yao...
Chance ndoto said: Kimambo dogo smart. Na ana malengo sana huyo.. ni mzuri sana wa mawazo na kuyafanyia kazi. Wakati classmate wake anaandika thread kuponda hapa. Huyu jamaa kazi yake nikumake things happen. Kaoa mwaka jana tu hapo pisi moja matata. Click to expand... Huyu dogo ashawahi kuishi Tanga? Kuna Kimambo chotara kama huyu alikuwa na kaka yake pia, waliwahi kuishi Chumbageni kwa aunty yao...
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 17,776 Reaction score 42,402 Jul 20, 2022 #84 D2050 said: Wakati wewe unaona 700000 ndogo, kuna mtu anahangaika angalau apate ajira ya 300000 ili aendeshe familia yake Click to expand... Kweli kabisa na wakati huo, kuna tunaotamani hata 50k tu itusogeze kidogo mambo hayaendi, so muhimu ni kuridhika na kuongeza jitihada za kujikwamua.
D2050 said: Wakati wewe unaona 700000 ndogo, kuna mtu anahangaika angalau apate ajira ya 300000 ili aendeshe familia yake Click to expand... Kweli kabisa na wakati huo, kuna tunaotamani hata 50k tu itusogeze kidogo mambo hayaendi, so muhimu ni kuridhika na kuongeza jitihada za kujikwamua.
Mike400 JF-Expert Member Joined Aug 30, 2015 Posts 210 Reaction score 83 Jul 22, 2022 #85 we endelea tu kukwangua vocha yeye awe director .. kwani shida ipo wapi mkuu ...
M MMOJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2012 Posts 445 Reaction score 259 Jul 23, 2022 #86 Una bahati sana ndugu, anza kumtumia yeye kama connection ya kufika malengo yako, Connection ndio hizo sasa Amka tumia, Haiwezekani darasa zima muwe CFO-Vodacom, lazima utofauti uwepo ndivyo dunia inavyokwenda hivyo
Una bahati sana ndugu, anza kumtumia yeye kama connection ya kufika malengo yako, Connection ndio hizo sasa Amka tumia, Haiwezekani darasa zima muwe CFO-Vodacom, lazima utofauti uwepo ndivyo dunia inavyokwenda hivyo