Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Afadhali atulie, huyo anakuheshimu, hapo hukosi mistari labda umwambie ni wateja wako waliokuwa wanakufosi uwapande lakini ukawa unachat shingo upande ingawa huwataki
Hajaniuliza chochote mkuu
 
Nimeacha kuchepuka natulia home nakula wine na wife huku tukiangalia movie na wife alooo nimegundua mke wangu wala sio kibuli wa sio kisilani
 
Nimeacha kuchepuka natulia home nakula wine na wife huku tukiangalia movie na wife alooo nimegundua mke wangu wala sio kibuli wa sio kisilani
Hongera sana mkuu ishi humo humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ