Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Dipresheni kwenye moja na mbili!
 
Uaminifu ni mtaji katika mahusiano. Mimi nikirudi nyumbani jioni simu naibwaga tu hapo sebuleni atakayetaka kupiga kwa marafiki zake apige ( kama simu yake kaishiwa salio) anayetaka mtandao na mambo mengineyo atumie tu hata sina wasiwasi.
 
Basi unaishi vyema sana mkuu nitakuwa mwaminifu.
 
cheni bandia kwa fedha bandia hat ye aliacha sim nyumban alijua akija nayo itawagombanisha kwa kuita au kuingia msg za michepuko yake akaona aepesha shal dunia ya leo kun sim yakuchaj mda wa kula sa1 sa mbil watu weng uchaj usik anapolala kwa mwanamk anaeshnd nyumban sim aiwez kua aina chaj na mna apointmnt ya kutoka lazm akapg picha atambe status na out ya holday
 
Hana tabia ya kupenda picha mkuu japo aliacha makusudi ili atumie yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…