Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Niseme nn sasa? Acha umalaya. Baki kwa ma mtu ako lol.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ma mtu wangu huyu nahisi nishamuumiza ila kutokana na katazo langu la kutokuuliza atachokutana nacho kwenye simu yangu ametulia tu. Ila nabadilika sitaki tena nyingine hii tabia naiua ife leo ijumaa kuu.
 
Mara nyingi hua natumia watsup kuchat na nafuta sms zote kuna kipindi nlikuwa natumia sms za kawaida na nkawa sifuti demu hata akiwa anakuja akili yangu nawaza watsup tu ndo pana ujinga mwingi.....kumbe yy anasoma(ga) kimya kimya sms za kawaida
Sijafanya usafi siku mbili tu madudu kibao, ila tuwe tu waaminifu wakuu. Mimi nabadilika kuanzia leo.
 
Simu zina stress sana, kukaguana ni stressful life
 
shida mnawaendekeza sana wanawake.

Mie mwanamke yyt ninaetoka nae anajua simu yangu haishiki ila yake naikagua tena mbele yake.
Kila mtu ana miongozo yake ya kuishi, yangu ashike ila asiniuize chochote.
 
Acha kujaribu nyuzi za watu mkuu fungua ya kwako Anza kuongelea mada ya ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…