Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Niliupgrade cm wife akataka ile yangu nikaampa nikijua nimefuta vtu vyote vibovu kumbe Dah nilibambwa na bargain utamu na pc moja ya Kigoma. Hiyo haikua na comeback.
 
Half american umeyatimba
 
Wanawake wanaopekua sana simu za waume zao mara nyingi na wao wana viporo vyao.Unatumia nguvu nyingi kujihami kumbe yeye anakuzoom tu,siku ukija kujua madudu yake utazimia.Unakuta yako ni madogo mno.We kula ganzi relax maisha yaendelee atajua yeye mwenyewe
 
Jmn lipia tangazo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…