Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Ma mtu wangu huyu nahisi nishamuumiza ila kutokana na katazo langu la kutokuuliza atachokutana nacho kwenye simu yangu ametulia tu. Ila nabadilika sitaki tena nyingine hii tabia naiua ife leo ijumaa kuu.
Du kukabske walaj leo unatoa pin poa ila mwanawane kuna vitu wanawake wanatulazimisha kwa nguvu hebu fikiria kuna miez 2 kuna demu tumezoeana aliniambia nimwazime ela vikoba anaumwa haendi kazn na atatolewa ili alipe jina lisikatwe akipokea anarudisha poa nikampa mpk mda huu haya ameanza jana Usk ninashida na ww nikampotezea asbh kaanza tena madai yale yale vkoba anataka Mia mpk tarh 25 nikamwambia sina akaja mpk 40 nikamwambia poa mtu kama huyu hakulipi usimto. Mbe kwa nn mana halipi au dada yangu
 
Kula haraka haraka na kubabua paa la mdomo kunahusiana vipi na kuazimwa simu?
Embu unganisha stori vizuri ipendeze.
 
Wanawake wengine huwa wanakagua simu saa 8 za usiku, huku wewe umelala hoi.
Omba asiijue password yako.
Ndoa itaingia mgogoro ambao hauishi
Piga pattern milango yote ya hatari ili uwe na uhuru na usingizi wako au uwapo msalani.

Simu kuiacha uchi ni sawa na kulala mlango wazi bila kuufunga na makomeo.
 
Ninyi ndio mnasababisha mauaji kwenye Ndoa(Mahusiano).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…