Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
- Thread starter
-
- #141
Kuujenga uaminifu n kazi sana ila kuubomoa ni kugusa tu, tuwe waamunifu wakuu.Mkuu, mimi simu imenivunjia mahusiano na mtoto mmoja wa kisukuma. Kiukweli nilishaamua kutulia nae kimbinu ila sasa mambo yameharibika pakubwa sana.
huenda ulikua unatamani simu izime charge au hata ianguke ipasuke tu ππ sikusikia hata ladha ya kile chakula
Niombee tu ma parokwoBaki njia kuu baba parokwoo shaurilooo
Hapana πHukuharisha baada ya hapo?
Kama ulikuwepo akilini mwangu mkuuhuenda ulikua unatamani simu izime charge au hata ianguke ipasuke tu π
Angalia kama alipiga screenshot na kutuma kwenye E_mail au whatsappHapana π
Alivyonirudishia tu simu yangu nikawai kufuta ushahidi wote.
Hakika nitafanya hivyoBaki njia kuu,, mchepuko siyo dili
Nimecheki ila sijaona na ni mtaalam wa mambo ya IT πAngalia kama alipiga screenshot na kutuma kwenye E_mail au whatsapp
Na jinsi hawajui kusahau hawa viumbe. JipangeAlivunga maana hakuniambia ila nilijua amejua baada ya kukuta amescreeshot ...ni uhakika Hiyo nimeekewa Bank kwaajili ya matumizi ya baadae.
Mkuu naacha kuanzia leo nabadilikaNinyi ndio mnasababisha mauaji kwenye Ndoa(Mahusiano).
π ila wadauUmeshajiita mwamposa. Tulia
Tuishi humu mkuu afya n maliJmn HIV is real...
Tuwe waaminifu kwa wenza wetu
Nimeuliza kwa sababu sio yeye tu anaekimbiliaga simu kupekenyuaUmempa mwenyewe halafu unakuja kutuuliza maswali magumu. Utajua mwenyewe
π namimi nilimwambia maswali sitaki maana mwanzoni alilia likapita.Wangu alijaribu kuikagua simu yangu haina usiku wa manane nimelala, siku ya kwanza nilimuona nikatulia nikijua labda anashangaa shangaa kwenye gallery.
Siku ya pili nikamuona yupo kwenye App ya Message baadae akahamia WhatsApp sikutaka kumkataza nikatulia kimya Kama nimesinzia.
Haikuchukua hata lisaa nikaona ameitupa na kilio juu.
Niapie nini kwanza kuapa hovyo dhambiEm apia!!
Kosa n lake, mbinu aliyoitumia nimeielewa sana.π€£π€£π€£
ila wanaumeee πππ
Ukorofi huo na asirudieMe wa kwangu kana Getto kanifuma na manzi maana aliskia sauti akiwa kwa nnje..kaomba nifungue mlango nikagoma alivyoondoka nikamwambia ni mdada wa usafi..
Alafu nikammind kwanini anakuja bila taarifa kama sio ukorofi
Hiyo safi anapin vip nifunfishe.Kuna Mwenzako huku nikimuomba simu ananiuliza naingia wapi kisha ana pin kama ni tiktok basi utaganda hapohapo
Huwezi kuhama apps
Oya nyie majambazi jifunzeni utulivu